Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

TOP 6 kwa misifa
  1. Wahaya
  2. Wahaya
  3. Wahaya
  4. Wanyakyusa
  5. Wanyakyusa
  6. Wajita
 
Mpale bahili mchaga anamuoma mwenzie hana asila na maisha ila muhaya na mjaluo majivuno kujiona wao wasomi wanapenda kusujidiwa
 
Wajita nyie sio mchezo,nimewahi kuishi kwa ukaribu na wajita wa3 ktk maisha yng wawili walikuwa rafiki zangu wa karibu ni maskini wa kutupwa lkn kwenye majigambo na kuringaa hawafanani na mtu
Hivi ukiwa maskini inakufunga na vitu vingine. Wangapi wanapesa mingi hawapendi misifa na wengine hupenda. Suala la sifa sio pesa no tabia hiyo.
 
Nshomile mpaka form four...hawa kwa maringo ni dunia!

Hata Rwanda ukifka ukasema wewe ni Mganda wote wanakaa kimya na kujiandaa kuondoka maana wanajua wanaenda kusikiliza majigambo na sifa zisizowahusu. Nikafanya connection na ndugu zangu wa pale Kashozi nikaconclude wanashare a lot of things in common na Waganda...no wonder Iddi amini alikuwa anawataka ndugu zake ila bahati mbaya nyerere akawapenda zaidi.
Umechanganya madesa ila Idd Amin hakuwa Mganda.
 
kati ya wapare,wahaya,wachaga,wajita wanaopenda sifa ni wakulima
 
Back
Top Bottom