Wapemba Waanza Kukamatwa

Wapemba Waanza Kukamatwa

hawa jamaa waliopeleka hiyo barua UN wamechagua wakati mbaya sana wa kuipeleka...
Game Theory unakumbuka yale maswali tuliyokuwa tunaulizana kuhusu vita ya Comoro, na recent activities in Pemba and nobody seemed to care?
 
I support republic of Pemba 100%. Wacha wapemba wawe na nchi yao, sababu asilimia 99% ya wabunge ndani ya pemba kwa miaka 15 sasa ni CUF, na serikali ya zanzibar inaongozwa na wabunge wa CCM kutoka unguja, sasa what the hell kuwa kwenye muungano usio na msaada?

Serikali ya JK ni sawa na toilet paper, it diserv to clean sh****. Hakuna haja ya kuwa ndani ya muungano wakati hampati faida ya kuungana.

CCM and serikali yake kama kawaida wametumia mfumo wao wa kinazi kukamata watu saa tisa za usiku wakiwa na bunduki za kivita na mandege ya kijeshi. That is typical CCM, madikteta, majambazi, makaburu and mashetani.

I can't hate them enough yaani. Republic of Pemba is the only way around. Goo Pemba
 
Duh hayo ni too much, ni maelezo yaliyojaa chumvi na chuki kibao
 
Hivi ni kweli hakuna suluhu through discussion? Hivi ni kweli JK anaridhika na hali iliyopo Pemba na kuifanya kuwa suala la kisiasa tu? Mimi bado sijaamini. Naungana na viongozi wa CUF kwamba JK walimfanyia vituko kule Butiama, uamuzi wa Butiama ni tofauti na mtazamo wa JK. now what next? hii kamata kamata ndo itatufikisha pabaya, Wapemba hawatishwi na kamata kamata, busara tu ndo muhimu hapa.
 
kengeja_taxi.jpg

Kuna wengine wanasema ati Pemba wanapenda kujitenga kwasababu ya choyo ya mafuta yaliyopatikana ktk kisiwa chao, wanapenda kuja kutajirika nayo peke yao bila wa unguja na wabara. Lakini mimi siamini hivyo.
 
I support republic of Pemba 100%. Wacha wapemba wawe na nchi yao, sababu asilimia 99% ya wabunge ndani ya pemba kwa miaka 15 sasa ni CUF, na serikali ya zanzibar inaongozwa na wabunge wa CCM kutoka unguja, sasa what the hell kuwa kwenye muungano usio na msaada?

Serikali ya JK ni sawa na toilet paper, it diserv to clean sh****. Hakuna haja ya kuwa ndani ya muungano wakati hampati faida ya kuungana.

CCM and serikali yake kama kawaida wametumia mfumo wao wa kinazi kukamata watu saa tisa za usiku wakiwa na bunduki za kivita na mandege ya kijeshi. That is typical CCM, madikteta, majambazi, makaburu and mashetani.

I can't hate them enough yaani. Republic of Pemba is the only way around. Goo Pemba

Lakini, mimi ninachojua ni kwamba, wapemba wanaotaka kujitenga wanatapatapa tu. hawataweza. nafikiri JK akiona mambo yanaenda namna hii,bora awe tu dictator. wewe jamaa unaesema selikali iko kama toiletpaper, hauna adabu.mimi sio mwana ccm lakini sipendezewi na manano ya mtu asokuwa na akili kama wewe. ILA, PEMBA WAJIFUNZE KWA MUHAMAD BAKAR. WA ANJOUN. ni sisi wenyewe tulienda kule kukomboa kile kisiwa. sasa wapemba wasijefikiri tutawaacha wao walete ujinga wao. Naomba kikwete awashughulikie kikamilifu,ndani ya sheria, hawa wahaini. chapa fimbo, hata wakijilipua na mabom,waache wajilipue tu, watachoka na watanyamaza wenyewe. period.
 
Huu ni mwanzo tu wa vurugu nyingi kujitokeza, kwani watu wasio na chochote wakishachoka hawaogopi tena. Serikali itawakamata, lakini sijui itakamata wangapi. Ni vyema serikali na CCM ambao kwa sasa ndio wanaongoza nchi ya Tanganyika na muungano wa Tanzania wakakubali kusikiliza malalamiko na maoni ya wanachi na kutoa majibu na suluhu ambayo inaeleweka na kukubalika.
Ni wajibu wa wakilishi wetu e.g. wabunge, viongozi wa dini n.k. wakajikumbusha wajibu wao wakutumikia jamii ili kuinusuru nchi na mambo haya.
Hali inayojitokeza Pemba haina tofauti na yanayotokea bara, kwani uchumi wa nchi umehodhiwa na kikundi kidogo cha watu. Jambo ambalo si zuri na ni hatari.
 
Ndugu zangu wanaforum mimi napenda kwanza kuunga mkono hoja za wapemba za kutaka kujitenga . kwa nini naunga mkono?
Kwanza serikali ya Mapinduzi haiwatambui Rasma kama ni raia sawa wa Zanzibar wenye haki sawa kama wenzao wa Unguja
Pili serikali ya Zanzibar yenyewe mara zote imesema na hakuna amekanusha ya kwamba haiwezekani kwa MPEMBA kuongoza serikali ya Zanzibar
Haya yamekua yakitamkwa ndani ya Baraza la wakilishi , mikutano ya hadhara na hakuna asojua mpaka juzi ndani ya mkutano wao wa Butiama wamesema wazi
Nafasi zote za serikali ya Zanzibar zimeshikiliwa na watu wa unguja japo wapemba wapo wengi wenye uwezo
Hakuna Mpemba katika baraza la mapinduzi
Nafasi zote za masomo ya juu zinakwenda kwa watu wa Unguja na CCM
Kuna hujuma za makusudi zimefanywa dhidi ya wapemba kuwadhuru kama kisa cha kutiliwa sumu kule pemba
Ingawa serikali ya Muungano huwa inawavumilia Wapemba kwa kuwapa nafasi muhimu kama DR. Shein na Salim Ahmed na Dr, Omar wote walikua ni wakuonyeshWa mfano katika uongozi wa nchii hii hawa HAWANA hata chembe ya UFISADI lakini subutu huyu Shein aseme tu nataka mimi kugombea Urais wa ZANZIBAR HATA FORM HATOPEWA NA CCM UNGUJA
Haya ya ubaguzi na ufashisti maaana huuu ni ufashisti kubagua raia wako kuwa ni watu wa daraja la pili
Haya yakifanyika Huko za Zanzibar Dhambi kubwa ni kwa Serikali ya Muungano kutojali na kuvumilia hali hii ya CCM wenzao Unguja la ajabu wao Bara hawana Tabu na WAPEMBA
KUNA SABABU NYINGI ZA JAMAA ZETU KUJITENGA
UNAPOMWAMBIA MTU NDANI YA NCHI YAKE KWAMBA WEWE MPEMBA HUWEZI KUTAWALA NCHII HII BASI MAANA YAKE HUWATAKI BORA WAWE MBALI NA WEWE YAANI TAYARI UMEWAPA RUHSA KAMA WANATAKA KUJITENGA BASI RUHSA
WATU WANASEMA KWA NINI WAPEMBA HAWAJENGI KWAO WAKATI WANAUWEZO? LAKINI JAMANI NI SERIKALI NDIO INTAKIWA IPELEKE MAJI . UMEME BARABARA , BANDARI , AIRPORTS NA MASHULE KAMA WAFANYAVO UNGUJA
KUNA VISA VINGI VYA KIBAGUZI KUNA JAMAA ALITAKA KUFUNGUA HOSPITAL KUBWA PALE WETE MSAADA WA KUTOKA NJE AKANYIMWA KIBALI ATI ASAIDIE ZILIZOPO
KUNA WATU WALITAKA KUJENGA BARABRA YA GANDO KWENDA WETE SERIKALI IKAKATAA MPAKA LEO GARI HAZIPITI WATU WATEMBEA KWA MIGUU
HATA USAFIRI WA BAHARINI UNAPIGWA VITA KWENDA KATI YA PEMBA , MOMBASA NA TANGA ILI WAPEMBA WASIFAIDI KUJIENDELEZA
KUNA WAKATI BEI YA PETROL PEMBA ILIKUA CHINI KULIKO UNGUJA , HII NI KUTOKANA NA SOKO HURIA BAI IKAAMULIWA IPANDISHWE IWE SAWA NA UNGUJA HUU NI UBAGUZI WA HALI YA JUU
PEMBA MARA NYINGI KUNA TOKEA UKAME NA HALI YA NJAA IKITOKEA HAKUNA WA KUWASAIDIA SERIKALI YA UNGUJA HAIJALI BALI HUTOA KEJELI HATA SERIKALI YA MUUNGANO NAYO HUKAA KIMYA IKITOKEA NJAAA SEHEMU NYENGINE BASI HARAKA MISAADA INA PELEKWA
MIAKA YA NYUMA WAPEMBA WALIKUA WANASAFIRI KUTOKA TANGA KWENADA PEMBA HALI YA HEWA ILICHAFUKA BASI WAKAPIGA SOS YA KUOMBA MSAADA NA WALIPIGA RADIO CALL IKAPOKELEWA LAKINI HAWAKU PATA MSAADA NA ROHO ZAO 25 ZIKAPOTEA KISA ATI BOTI ZA KMKM HAZIKUA NA MAFUTA
WAKATI PEMBA KUKIWA NA NEEMA YA CHAKULA WATU WA PEMBA HUUZA KWA WINGI CHAKULA CHAO KWA NGUGU ZAO WA UNGUJA LAKINI PEMBA KUKIWA NA NJAA BASI WAPEMBA HAWARUHUSIWI KUPELEKA CHAKULA KUTOKA UNGUJA HII NII AIBU
HIVYO WANAZO SABABU NA NIA YA KUJITENGA WAO NI BINAADAMU NA WAMESOMA VYA KUTOSHA KUENDESHA NCHI YAO KAMA WAPEMBA .CCM TAYARI IMESHAWAFUKUZA KWA HIYO WAO WANATAMKA TU KWAMBA JAMANI WENZETU TAYARI WAMETUTOA KATIKA SERIKALI HIVYO TUNAKAA KWETU NA SERIKALI YETU MAANA KATIKA HIO HATUNA NAFASI SASA HUUUU SII UHAINI
 
maelezo yako mazuri lakini fanya kuweka pascing na pili punguza fonts zimekuwa kubwa mno

otherwise tunahitaki wengi zaidi toka visiwani kama wewe humu ili kupata balance
 
Ndugu zangu wanaforum mimi napenda kwanza kuunga mkono hoja za wapemba za kutaka kujitenga . kwa nini naunga mkono?
Kwanza serikali ya Mapinduzi haiwatambui Rasma kama ni raia sawa wa Zanzibar wenye haki sawa kama wenzao wa Unguja
Pili serikali ya Zanzibar yenyewe mara zote imesema na hakuna amekanusha ya kwamba haiwezekani kwa MPEMBA kuongoza serikali ya Zanzibar
Haya yamekua yakitamkwa ndani ya Baraza la wakilishi , mikutano ya hadhara na hakuna asojua mpaka juzi ndani ya mkutano wao wa Butiama wamesema wazi
Nafasi zote za serikali ya Zanzibar zimeshikiliwa na watu wa unguja japo wapemba wapo wengi wenye uwezo
Hakuna Mpemba katika baraza la mapinduzi
Nafasi zote za masomo ya juu zinakwenda kwa watu wa Unguja na CCM
Kuna hujuma za makusudi zimefanywa dhidi ya wapemba kuwadhuru kama kisa cha kutiliwa sumu kule pemba
Ingawa serikali ya Muungano huwa inawavumilia Wapemba kwa kuwapa nafasi muhimu kama DR. Shein na Salim Ahmed na Dr, Omar wote walikua ni wakuonyeshWa mfano katika uongozi wa nchii hii hawa HAWANA hata chembe ya UFISADI lakini subutu huyu Shein aseme tu nataka mimi kugombea Urais wa ZANZIBAR HATA FORM HATOPEWA NA CCM UNGUJA
Haya ya ubaguzi na ufashisti maaana huuu ni ufashisti kubagua raia wako kuwa ni watu wa daraja la pili
Haya yakifanyika Huko za Zanzibar Dhambi kubwa ni kwa Serikali ya Muungano kutojali na kuvumilia hali hii ya CCM wenzao Unguja la ajabu wao Bara hawana Tabu na WAPEMBA
KUNA SABABU NYINGI ZA JAMAA ZETU KUJITENGA ........

TU KWAMBA JAMANI WENZETU TAYARI WAMETUTOA KATIKA SERIKALI HIVYO TUNAKAA KWETU NA SERIKALI YETU MAANA KATIKA HIO HATUNA NAFASI SASA HUUUU SII UHAINI

Haya ni mawazo yako binafsi au umekopi sehemu na kuja kuyabagwa hapa pasipo kuonyesha kuwa umeyanakili wapi...!

Hebu njoo na mawazo yako na kama unataka kunakili mawazo ya wengine ni vema uka ainisha kuwa ili kuondoa usumbufu unaoweza kutokea.

Zaidi kwenye tamko la CUF (la Jana)kuna mengi ambayo unaweza kuyachota na kuja kuyamwaga hapa... ila tumia font za kawaida tu...
 
hivi kweli kulikuwa na haja ya kwenda kuwakamata watu hawa saa sita usiku?
watu walioenda UN kwa amani, kulikuwa na haja gani ya kwenda kuwakamata kwa namna ile.
nafikiri kwanza wangejaribu kwa kwenda kuwakamata angalau mchana kweupe, na sio kutia vitisho vya namna ile.
aibu
 
Mimi naomba kwa Serikali kutafuta suluhu na muafaka.Kuondoa ubaguzi ni mojawapo ya kuwafanya nao waonekane kuwa ni Wazanzibari au Watanzania halisi.

Wapemba wamebaguliwa tangu enzi za Sultani hadi mapinduzi.Wanadharauliwa nchi nzima na kubaguliwa katika nyanja mbalimbali.

Kama Kikwete ana nia nzuri inabidi ku address suala la Pemba kwa diplomasia ya hali ya juu kwa sababau kamata kamata inaharibu sifa ya nchi yetu.Mojawapo ya urithi ambao anaweza kutuachia baada ya uongozi wake katika nchi hii na Afrika nzima ni kuleta amani ya kweli Zanzibar.

Matatizo ya Zanzibar ni matatizo ya Tanzania.
 
Nafikiri inachofanya serikali ni kuwatisha wananchi waache kuongelea swala la muungano hata wanaona kuna ulazima wa kuliongelea, sasa hivi tunafunguliwa masikio kwa jinsi gani historia ilipotoshwa na inaendelea kupotoshwa ili kuwapa watu furani heshima wasiyostahili na kuwanyanyasa wengine.

Wakati mataifa yanaitambua kosovo kama taifa huru kuna coment zilitolewa na watu kuwa hii ni tatizo kwani watu wengi watatumia hicho kama kigezo cha kutaka kujitenga, na nafikiri wapemba wameona hilo wanajaribu kutumia nafasi hiyo kama njia ya kutafuta haki yao.

Serikali ya mapinduzi ya zanzibar ina matatizo mengi, nafikiri wakati JK anasema anaweza kumaliza mgogoro wa zanzibar hakujua magnitude yake kwani mgogoro huu ni zaidi ya uchanguzi na wizi wa kura, unaingia mpaka kwenye maisha ya kawaida ya wapemba, ambao ni kweli wananyanyaswa na serikali ya mapinduzi ya zanzibar wanaonekana kama ni watanzania nusu.

Kukamatwa kwa watu waliokwenda UN sioni kama ni solution ya tatizo la zanzibar kwani baadala ya kumaliza tatizo inawezekana kabisa ikaongeza tatizo, especially kama wananchi waliko pemba wanahitaji kuwa huru, wanaweza wasitawalike.

Solution ilikuwa ni kumaliza mgogoro ulipo sasa ambao sio tu ni wa kisisasa bali pia ni wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Serikali haisitahili kulifumbia macho hili na kukamata watu na kuwatesa ili wasaau kudai haki yao kwani it will come a time ambayo mtu anaweza kufanya kitu cha hajabu kabisa ukabaki unajiuliza kama kweli aliyefanya hivyo ni binadamu au myama.
 
Serikali ya ccm ikome kabisa kukamata watanzania kwa visingizio vya ajabu kama hivi. Grrrrrrrrr
 
Serikali ya Tanzania itaendelea kuwakamata watuhumiwa wote ikiwa kifua mbele ka vile imepigwa ngumi ya mgongoni

kwi kwi kwi.... kama wameshindwa kumkamata Chenge na Rostam Azizi basi inaonekana hicho kifua mbele kinatokana na kikohozi cha kifua kikuu na sio kupigwa ngumi mgongoni....
 
Serikali ya Tanzania itaendelea kuwakamata watuhumiwa wote ikiwa kifua mbele ka vile imepigwa ngumi ya mgongoni

Wakati mwingine nashindwa kuwaelewa nyinyi watu wa CCM, hivi unafikiri wale ni wahaini, wahaini wanapeleka waraka halafu wanarudi kwao na kukaa majumbani mwao, hivi serikali inawakamata kwa kosa gani kama hata UN hajawambia huo waraka unahusu nini?

Kaka inabidi utafute jinsi nyingine ya kuwatetea CCM kwa maana wanachemsha sana, sasa kila kitu wabavurunda bila hata kufikiri.
 
Tatizo lako unasahau kuwa hapa hakuna Msemaji wa CCM wala wa Serikali...
 
hivi kweli kulikuwa na haja ya kwenda kuwakamata watu hawa saa sita usiku?
watu walioenda UN kwa amani, kulikuwa na haja gani ya kwenda kuwakamata kwa namna ile.
nafikiri kwanza wangejaribu kwa kwenda kuwakamata angalau mchana kweupe, na sio kutia vitisho vya namna ile.
aibu
Wewe Mheshimiwa Gaijin unanishangaza sana. Kitendo kile cha kwenda UN siyo kidogo na cha mchezo kama unavyokiona wewe. Unafikiri sasa UN wakaiuliza Tanzania (Mlalamikiwa) -Kulikoni? Ifanye nini? Kile kitendio ni uhaini. Ijibu vipi? na iwashughulikie vipi wanaohusika? Kwani wao walifikiri kuwa wanacheza Msewe pale? Sio kosa hata kukurupushwa usiku wa manane. Uhaini ni uhaini tu Uwe Comoro, au Kosovo, au Pemba. Popote pale. Wache wasome Ndugu zetu na jazba zao za Kipemba. Wasifikiri kila kitu ni "mzaha" kama kucheza Msewe- vile.
 
Back
Top Bottom