Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
813
Reaction score
628
Mwezi uliopita kwa wale wafatiliaji na wapenda mziki wa hiphop kutokea majuu huko USA nadhani mlifatilia Tuzo za BET

Ila tangu Tuzi hizo zifanyike niliwaza mengi, kwenye category moja ya Upcoming Artist ambapo alishinda Lilbaby na sio Juice World

Hivi ni kweli Lilbaby mkali kuliko Juice World?
 
Lil baby ana fan base kubwa sana kwao Atlanta...wasanii wa Atlanta pamoja na wakazi wa Atlanta Metropolitan Area wanasapoti sana watu wao wanaotoka Atlanta na maeneo ya jirani na Georgia hii ipo tangu zamani na ndio maana wasanii wengi wa Atlanta wana mafanikio ktk tuzo za Hiphop...ni kweli lil baby hajatoa hit songs kali kama za Juice world kwan ngoma zake za kawaida tu kuanzia Best friend,Freestyle,pure cocaine n.k lakini juice wrld kajitahidi kutoa hit songs kadhaa mfano Lucid dreams ilishika namba moja Billiboard kwa wiki kadhaa hivi..pia Armed,Realer N Realer ni baadhi tu ya Hitsongs alizotoa huyu jamaa ila Lil baby ana fanbase kubwa sana na label yake pia ya Quality control music ambayo pia ima wasanii kama MIGOS,LIL YACHTY,CARDI B pia imembeba kwa sasa QC ni kama Cash money Records kwenye game la Hiphop
 
Umeua kabisa nilitaka facts kama hizi safi sana
 
Napataje video full ya hzi tuzo.
Naona youtube wanaweka vipande vipande tu.

To me lil baby is the best.
 
Inabidi nirudi kwenye tasnia yangu The gifted son
 
Ebu ngoja kwanza..Ngoja nikupinge,Ku'deserve na Kusapotiwa ni vitu viwili tofauti...Mfano Label ya Big Machine inayom'manage Taylor Swift ni ndogo kwa Label kibao na anashinda matuzo mengi!!Sio label but is a Job..Label inayommiliki The Weeknd ni division ya Republic Records na Alishinda Grammy 8 na Billboards8 mwaka 2016...Kwahiyo Lil baby alibebwa tu ila tuzo alipaswa apewe Juice Word but Label sio issue kuliko Uwezo.
 
Juice World akipata nafasi ya kufanya collable na Ali Kiba. Nyota yake lazima ing'are.
 
Mkuu tunaongelea Hip hop na wewe unakuja kutuambia habari za Kina weeknd na Taylor swift..kwenye Hip Hop label inakubeba mzee amini hilo hivi hukumbuki wasanii wa Cash Money Records walivyokuwa wanakula promo japo uwezo ulikua mkali sio kiviile..na hata hapa Bongo Label kama weusi inabeba baadhi ya wasanii kama Nikki wa pili huyu ni dhairi anatembelea jina la weusi...unapoongelea miziki uliyoitaja wewe hapo inategemea uwezo wa mtu ni kweli lakini pia kwa kiasi fulani label pia inasaidia kufanya promotion kubali ukatae hao wote wawili Taylor na The weeknd pia wanamenejiwa na label ya Republic Records ni moja ya label kubwa dunian na inatoa promotion kubwa kwa wasanii wake
 
"E="TADPOLE, post: 32339992, member: 339715"]

[/QUOTE]I know that we're talkin' about Hip Hop but hao kina Taylor na The Weeknd nimetolea mfano tu kuhusu swala la kubebwa na Label..Kwani nikiongelea Label ya Weusi na nikamtolea mfano msanii wa Label ya DADILIUSIBII nitakua Wrong kisa tunaongelea Knowledge & Movement??Huo ni mfano tu Bablai..Uwezo ndo una'matter sio Ukubwa wa Label...Ila Tunarudi pale pale Lil baby kabebwa na akabebeka.
 
duh kweli nimekuwa muhenga me hadi leo wasanii latest kweny hiphop najua ni kina kendrik lama, meekmil, future
Game yenyewe ya marekani siku hizi wasanii wamepoa sana sijui wanaimbaje kuna kundi moj la hiphop wanakubalika sana ila wanaimba nyimbo mbaya kweli kupata hii miaka mitatu bado sijapata wimbo mkali wa hiphop kama zamani hao wasanii hapo juu ata mimi siwafahamu
 
Duuuh mi hata siwajuwi kabisa hawa madogo. Yaan hiphop ya siku hizi tofauti kabisa ishu ni kwamba na mashoga wameingia humo humo.Mi bado bado nawakumbuka akina SOULJA BOY TELL EM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…