Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

Linapokuja swala la Hip Hop. Najuta kuishi mpaka kushuhudia kizazi hichi cha kina Lilpoop.
acha tu,huko mbele hakuna hiphop,akina bausta na dre itakua wanasikitika sana,kwanza hata hao madogo siwajui,nilipoona sijui akina meek mill wanasifiwa nikaumia roho muziki nilioupenda na kunijenga umekufa kabla wanangu hawajamaliza elimu ya msingi
 
Mwezi uliopita kwa wale wafatiliaji na wapenda mziki wa hiphop kutokea majuu huko USA nadhani mlifatilia Tuzo za BET

Ila tangu Tuzi hizo zifanyike niliwaza mengi, kwenye category moja ya Upcoming Artist ambapo alishinda Lilbaby na sio Juice World

Hivi ni kweli Lilbaby mkali kuliko Juice World?
suspended from the school scared to home,

I was fool with big boys breaking all the rules , ished tears with my baby sister

shakur.
 
Nafufua uzi kwa kwa hisani ya retirement ya mkali LOGIC.

 
Hip-Hop haifi Kaka kina da baby ndo kwanza Moto inaanza.
 
duh kweli nimekuwa muhenga me hadi leo wasanii latest kweny hiphop najua ni kina kendrik lama, meekmil, future
Mkuu naomba nikufariji tupo wengi dunia inaspeed sana sa msanii kama sixnine hata sijawahi muelewa
 
Back
Top Bottom