Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Status
Not open for further replies.
Pole Mkuu bado una pakuanzia. Chukua mkopo weka dhamana nyumba. Walau million tano. Swala la ufanye biashara gani ni swala lingine. Pia jiungamanishe kwenye maombi huko sijui Mwamposa sijui nani hukoo.
Unaelewa kinachoendelea kweli???? muda huu huyu ni marehemu 😭😭😭😭
 
Pole Mkuu bado una pakuanzia. Chukua mkopo weka dhamana nyumba. Walau million tano. Swala la ufanye biashara gani ni swala lingine. Pia jiungamanishe kwenye maombi huko sijui Mwamposa sijui nani hukoo.
Huyu mtubsasa ni R.I.P mkuu
 
Daahh inasikitisha sana mtu unateseka kisha unakufa kwann Mungu anaruhusu haya mambo?
 
Tulia hayo yataisha. Kwa ugumu huo mbele iko nuru. Usikate tamaa kabisa. Wanaume tunasema tunakufa tukipambana bila kupunguza speed.
Usiwe na Hofu. Pole sana
 
AMEKUFA USHAURI WA NINI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom