Simba (yangu) na Yanga zimebeba hisia na matamanio ya nchi nzima. Hata kama unashabikia Azam lazima utakuwa na interest ya timu hizo mbili kubwa.Labda kama tumekosa kazi.
Kujikita kwenye utoto wa simba na yanga!!!!!!!
UNAPATA FAIDA GANI HASWA????????
Akili za utopolo!sasa kama unajua umetengeneza ushindi nje ya uwanja,kwa nini uwaahidi wachezaji mamilioni wakati hawajahusika na ushindi?hawataki kuwapa kwa kuwa wanajua ule ushindi ulitengenezwa kwa mchongo na sio juhudi za wachezaji.Sasa utawapaje pesa wakati ushindi ulipatikana nje ya uwanja ????
Ila UPUMBAVU wa kila mara kutaka NIKUINGILIE KINYUME unao au hili nalo utalikataa PUNGA NYABENGWAJI Wewe?SINA MUDA WA KUSOMA UPUMBAVU WAKO.
JF IMEINGILIWA SANA.
NILIACHA KUKAA SANA HUMU NDANI.
UTOTO MWINGI
Hili nalo mkalitazameIla UPUMBAVU wa kila mara kutaka NIKUINGILIE KINYUME unao au hili nalo utalikataa PUNGA NYABENGWAJI Wewe?
Kwahiyo Wewe huko KUINGILIWA KINYUME ulikokuzoea Kwako ndiyo Kazi / Ajira ya maana na unajivunia nayo?Labda kama tumekosa kazi.
Kujikita kwenye utoto wa simba na yanga!!!!!!!
UNAPATA FAIDA GANI HASWA????????
Unatumia ID fake na bado unaongea kwa codes, akiingia nyoka nyumbani kwako utathubutu kweli kumwua au utamwachia mkeo?Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?
Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki Jaribu Baadae ambaye si Mtu mzuri kwa Klabu na ni Kirusi HATARI klabuni kuliko hata kile cha HIV.
Najua kuwa Siku za Ben Naachika ndani ya Fred Jobe Hovyo Hovyo SC zinahesabika na tayari Dalili tumeshaanza Kuziona.
Hili jamaa ni linameng'enyuliwa papaiUnatumia ID fake na bado unaongea kwa codes, akiingia nyoka nyumbani kwako utathubutu kweli kumwua au utamwachia mkeo?
Hunishindi mimi mkuuMoyo wangu huwa unajaa furaha sana hasa nikisikia habari mbaya zinazoihusu Simba.