Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Simba (yangu) na Yanga zimebeba hisia na matamanio ya nchi nzima. Hata kama unashabikia Azam lazima utakuwa na interest ya timu hizo mbili kubwa.Labda kama tumekosa kazi.
Kujikita kwenye utoto wa simba na yanga!!!!!!!
UNAPATA FAIDA GANI HASWA????????
Faida inayopatikana ni utulivu wa akili na amani ya moyo