Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

Labda kama tumekosa kazi.

Kujikita kwenye utoto wa simba na yanga!!!!!!!

UNAPATA FAIDA GANI HASWA????????
Simba (yangu) na Yanga zimebeba hisia na matamanio ya nchi nzima. Hata kama unashabikia Azam lazima utakuwa na interest ya timu hizo mbili kubwa.

Faida inayopatikana ni utulivu wa akili na amani ya moyo
 
hawataki kuwapa kwa kuwa wanajua ule ushindi ulitengenezwa kwa mchongo na sio juhudi za wachezaji.Sasa utawapaje pesa wakati ushindi ulipatikana nje ya uwanja ????
Akili za utopolo!sasa kama unajua umetengeneza ushindi nje ya uwanja,kwa nini uwaahidi wachezaji mamilioni wakati hawajahusika na ushindi?
 
Try again anamuwakilisha Mo Dewji, ukielewa hili maana yake Try again ndio Mo Dewji.

Kwahiyo achaneni na huyo mtu hamumuwezi muoneeni Mangungu Tu ndio mna mamlaka naye wanachama.
 
SINA MUDA WA KUSOMA UPUMBAVU WAKO.

JF IMEINGILIWA SANA.
NILIACHA KUKAA SANA HUMU NDANI.

UTOTO MWINGI
Ila UPUMBAVU wa kila mara kutaka NIKUINGILIE KINYUME unao au hili nalo utalikataa PUNGA NYABENGWAJI Wewe?
 
Labda kama tumekosa kazi.

Kujikita kwenye utoto wa simba na yanga!!!!!!!

UNAPATA FAIDA GANI HASWA????????
Kwahiyo Wewe huko KUINGILIWA KINYUME ulikokuzoea Kwako ndiyo Kazi / Ajira ya maana na unajivunia nayo?

Pumbavu.
 
Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?

Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki Jaribu Baadae ambaye si Mtu mzuri kwa Klabu na ni Kirusi HATARI klabuni kuliko hata kile cha HIV.

Najua kuwa Siku za Ben Naachika ndani ya Fred Jobe Hovyo Hovyo SC zinahesabika na tayari Dalili tumeshaanza Kuziona.
Unatumia ID fake na bado unaongea kwa codes, akiingia nyoka nyumbani kwako utathubutu kweli kumwua au utamwachia mkeo?
 
Naona mnatafuta visingizio vya kufungwa. Kwa hiyo ile faulu aliyopiga Chama ikagonga besela ni kwamba ilikusudiwa igonge besela na lisifungwe goli.

Kila mkifungwa mnatafuta visababu vya nje. Mmefungwa 5 na Yanga mkapaniki na kusingizia kuwa Chama na wenzake wamehusika kuhujumu, leo mmepigwa na Prison bado mnakuja na drama zenu kuwa wachezaji waliahidiwa hela wakiifunga galaxy. Kesho mkifungwa tena mtasema wachezaji walipewa maji ya Kilimanjaro badala ya maji ya Afya.

Hebu acheni hizo Conspiracy theory zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu.

SIMBA IMEFUNGWA NA PRISON SABABU ILIZIDIWA MBINU. NA NDIO UKWELI HUU
 
Back
Top Bottom