Naipata wapi mkuu.latest imetoka mwezi Septemba, 2018
Nimejaribu nimeshindwa kuipakua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipata wapi mkuu.latest imetoka mwezi Septemba, 2018
Halafu bongo muv wakaja wakaiigiza.cjaziona horror movie nyng but ile ya mirror kwangu ni 1st in my list kwa kutisha na issabele doll
Wanasema ukipenda kuangalia sana hizi movies huwa zina madhara[emoji3]Juzi hapa kulikuwa na sikukuu ya "Halloween" Marekani.
Ni sikukuu watoto wanajivisha nguo za kutisha/ superheroes/ movie/ comics characters halafu wanapita nyumba kwa nyumba wanapewa pipi.
Watu wengi huweka vitu vya kutisha nje ya nyumba zao.It's a fun thing.
Basi mtu mmoja akauliza Facebook, hivi kwa nini Tanzania hamna sikukuu ya Halloween?
Jamaa akamjibu, akamwambia Tanzania maisha yenyewe yanavyotisha ni Halloween tosha,ya nini kujiongezea vitisho?
Mimi nami kwenye movies,nina hiyo approach. Niliona huyo aliyejibu kama kanisemea kwa aina fulani.
Maisha yenyewe yalivyokaba yanatisha vya kutosha, ya nini kwenda kujiongezea vitisho vya makusudi kwa kuangalia movies za kutisha?
Nikishaona movie ni horor tu, nazima, natafuta kitu kingine.
Most horror movies are cheesy anyway. For me at least.
Halafu bongo muv wakaja wakaiigiza.
[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sana.
[emoji1][emoji1][emoji1]Asante mkuu.
Huwezi amini tangu mchana nahangaika na the nun 2018.
Mpaka nikakata tamaa.
Na hapa pia naona haipo.
Movie zikiwa mpya watengenezaji wanazibana sana kuhakikisha fedha waliyoitumia kuitengeneza inarudi kwanza kupitia maonesho kwenye majumba ya sinema, hata DVD zinakuwa haziuzwi kwa kama mwezi hivi.. ndio maana hata ukiipata soft copy inakuwa na ubora mdogo maana mara nyingi hurekodiwa kwa camera (yaani kutoka kwenye TV mtu anarekodi kwa juu kupitia simu au camcorder ). Kwa movie mpya ni lazima urudi kwenye torrent, na torrent karibu zote zilishafungiwa, imebaki 1337x ambayo nayo karibu kila wiki inabadilisha domain ili kukwepa kufungiwa...Asante mkuu.
Huwezi amini tangu mchana nahangaika na the nun 2018.
Mpaka nikakata tamaa.
Na hapa pia naona haipo.
Naungana na wewe mkuu itabidi na mimi niiangalie napenda sana movie za hiviKwa Sifa Hizi Wacha Nitafute Maana Huwa Si Mpenzi Sana Wa Hizi Horror Movie
Halloween (Resurrection)Mnamsahau michael myres mzee wa halloween [emoji48][emoji380]
hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........Mkuu kuna movie flani dingi na watoto wanaenda mapumzikoni huko wanakutana na kibox flani hivi watoto bila kujua wanakichukua na kurudi nacho home kwao. Kibox hicho kitaleta kizazaa ndani ya familia hiyo. Dah! Movie tamu sana jina tu limenitoka
Eheeee, endelea mkuu.hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........
Lazima kuwa na madhara fulani kisaikolojia, hata kama mtu anakataa.Wanasema ukipenda kuangalia sana hizi movies huwa zina madhara[emoji3]
Ningepata mtu wa kuniambia hivi hata nisingeteseka sana.Movie zikiwa mpya watengenezaji wanazibana sana kuhakikisha fedha waliyoitumia kuitengeneza inarudi kwanza kupitia maonesho kwenye majumba ya sinema, hata DVD zinakuwa haziuzwi kwa kama mwezi hivi.. ndio maana hata ukiipata soft copy inakuwa na ubora mdogo maana mara nyingi hurekodiwa kwa camera (yaani kutoka kwenye TV mtu anarekodi kwa juu kupitia simu au camcorder ). Kwa movie mpya ni lazima urudi kwenye torrent, na torrent karibu zote zilishafungiwa, imebaki 1337x ambayo nayo karibu kila wiki inabadilisha domain ili kukwepa kufungiwa...
Na torrent file ili udownload itakulazimu uwe na torrent client kama utorrent au bittorent au torch browser (hii ni built in torrent client browser), the Nun icheki hapa
Download the nun 2018 | 1337x Torrents
Dah! Kweli mkuu, hii movie jina lake unalijua?hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........