Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Juzi hapa kulikuwa na sikukuu ya "Halloween" Marekani.

Ni sikukuu watoto wanajivisha nguo za kutisha/ superheroes/ movie/ comics characters halafu wanapita nyumba kwa nyumba wanapewa pipi.

Watu wengi huweka vitu vya kutisha nje ya nyumba zao.It's a fun thing.

Basi mtu mmoja akauliza Facebook, hivi kwa nini Tanzania hamna sikukuu ya Halloween?

Jamaa akamjibu, akamwambia Tanzania maisha yenyewe yanavyotisha ni Halloween tosha,ya nini kujiongezea vitisho?

Mimi nami kwenye movies,nina hiyo approach. Niliona huyo aliyejibu kama kanisemea kwa aina fulani.

Maisha yenyewe yalivyokaba yanatisha vya kutosha, ya nini kwenda kujiongezea vitisho vya makusudi kwa kuangalia movies za kutisha?

Nikishaona movie ni horor tu, nazima, natafuta kitu kingine.

Most horror movies are cheesy anyway. For me at least.
 
Wanasema ukipenda kuangalia sana hizi movies huwa zina madhara[emoji3]
 
Kama msuka ya kibongo haipo siamini hii list! Hii movie niliangalia nikiwa mdogo tangu siku hiyo niione sikuwahi kuchelewa kurudi nyumbani giza linapokaribia na ile migomba ya kule kwetu yale majani yakichezacheza nilikua naona ni msuka inapaa paa!
 
Asante mkuu.
Huwezi amini tangu mchana nahangaika na the nun 2018.
Mpaka nikakata tamaa.
Na hapa pia naona haipo.
Movie zikiwa mpya watengenezaji wanazibana sana kuhakikisha fedha waliyoitumia kuitengeneza inarudi kwanza kupitia maonesho kwenye majumba ya sinema, hata DVD zinakuwa haziuzwi kwa kama mwezi hivi.. ndio maana hata ukiipata soft copy inakuwa na ubora mdogo maana mara nyingi hurekodiwa kwa camera (yaani kutoka kwenye TV mtu anarekodi kwa juu kupitia simu au camcorder ). Kwa movie mpya ni lazima urudi kwenye torrent, na torrent karibu zote zilishafungiwa, imebaki 1337x ambayo nayo karibu kila wiki inabadilisha domain ili kukwepa kufungiwa...

Na torrent file ili udownload itakulazimu uwe na torrent client kama utorrent au bittorent au torch browser (hii ni built in torrent client browser), the Nun icheki hapa
Download the nun 2018 | 1337x Torrents
 
Mkuu kuna movie flani dingi na watoto wanaenda mapumzikoni huko wanakutana na kibox flani hivi watoto bila kujua wanakichukua na kurudi nacho home kwao. Kibox hicho kitaleta kizazaa ndani ya familia hiyo. Dah! Movie tamu sana jina tu limenitoka
hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........
 
Eheeee, endelea mkuu.
 
Wanasema ukipenda kuangalia sana hizi movies huwa zina madhara[emoji3]
Lazima kuwa na madhara fulani kisaikolojia, hata kama mtu anakataa.

Mtu unaweza kujistukia unaota ota madoto ya ajabu ajabu, mara mtu akikupitia karibu bila kujua kabla unastuka stukatu.

Nani anataka habari hizo? Certainly not me.
 
Movie zikiwa mpya watengenezaji wanazibana sana kuhakikisha fedha waliyoitumia kuitengeneza inarudi kwanza kupitia maonesho kwenye majumba ya sinema, hata DVD zinakuwa haziuzwi kwa kama mwezi hivi.. ndio maana hata ukiipata soft copy inakuwa na ubora mdogo maana mara nyingi hurekodiwa kwa camera (yaani kutoka kwenye TV mtu anarekodi kwa juu kupitia simu au camcorder ). Kwa movie mpya ni lazima urudi kwenye torrent, na torrent karibu zote zilishafungiwa, imebaki 1337x ambayo nayo karibu kila wiki inabadilisha domain ili kukwepa kufungiwa...

Na torrent file ili udownload itakulazimu uwe na torrent client kama utorrent au bittorent au torch browser (hii ni built in torrent client browser), the Nun icheki hapa
Download the nun 2018 | 1337x Torrents
Ningepata mtu wa kuniambia hivi hata nisingeteseka sana.
Daah hadi kichwa kiliuma.
Asante mkuu japo pia sijaipata hapo ila angalao nimejua kupata movie mpya si rahisi.
Asante sana
 
hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........
Dah! Kweli mkuu, hii movie jina lake unalijua?
 
listi yako imekosa movie ya Annabelle, resident evel na Dawn Of The Dead
 
Hebu angalieni na hizi :-- Candyman 1,2,3.
The ring 1,2,3,4.
House by the grave yard.
The 13th Friday series,(Jason.)
Elm street kids series.
Hostel 1,2.
 
Tokea nmebalehe sjawahi angalia muvi ikanitisha,sanasana huwa naona kinyaa tu yale madamu
 
Back
Top Bottom