Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mamii naona ushanitia tamaa..mm sijawahi kutizama hata singo episode ya GOT ila leo ngoja nikainunue S1 nione kilichomo..
Hautajuta nakwambia.
Ila usiiangalie na watoto au wazazi au watu unaowaheshimu.
Ina ngono hatari.
 
My friend anatumia anaangaliaga movie ila mchoyo sana but huaga anaangalia movie ye kapewa iyo account ya netflix anawekaga bando lake 1gb then anaangalia movie
Sio shida Mimi nikitaka single movie naingia google naandika index of movie zinakuja zote na download yeyote hizi applications za muvi nimezifuta

Mfano index of movie :sci-fi fiction movies 2018 paap zinakuja nadowload zozote zile hata series
 
1. The Masters of Horror Season 1 & 2:

Kwenye hii series ma director wengi wa movies za horror wakakutana wakatengeneza hii series, kila episode ni story tofauti, inatisha balaah kuliko ata most movies

2. American Horror story:

nayo ni series ya horror, kwenye hii series kila season ina story yake, zipo season saba kama sikosei, season1 inahusu nyumba yenye historia ya vifo, kila anaepanga humo lazma afe, Season 2 inahusu hospitali ya vichaa, season inahusu wachawi, 4, 5, 6 sikumbuki vizuri but kama ni mpenzi wa horror hizi series are worth watching
Nimeangalia American horror story (AHS) zote.
Now tupo season 9. Back to 80's[emoji41]

Ni tamu balaa.
 
Kuna horror muvi inakuja 2021 inaita Doctor strange in Multiverse of Madness. Very scary si unajua atakuwepo Scarlet Witch..
 
Kuna horror muvi inakuja 2021 inaita Doctor strange in Multiverse of Madness. Very scary si unajua atakuwepo Scarlet Witch..
Hio si ni miongoni mwa muendelezo WA muvi ya Dr strange ?

Ktk muvi marvel wamezi announce miongoni kwa miaka ijayo ambayo ni taisubiria kwa hamu kuliko zote ni
Thor :love and thunder sjui kama ntakua jina nimeliandika vzr

Kuna vitu vingi nataka kujua kuhusu huyo jamaa na baadhi ya maamuzi aliyoyafanya outcome zake je alikuwa sahihi
 
Hio si ni miongoni mwa muendelezo WA muvi ya Dr strange ?

Ktk muvi marvel wamezi announce miongoni kwa miaka ijayo ambayo ni taisubiria kwa hamu kuliko zote ni
Thor :love and thunder sjui kama ntakua jina nimeliandika vzr

Kuna vitu vingi nataka kujua kuhusu huyo jamaa na baadhi ya maamuzi aliyoyafanya outcome zake je alikuwa sahihi
Yep itakua mwendelezo wa Doctor strange.

Love and thunder itakua 2022 hukoo..Mimi mwenyewe natamani kufahamu atabaki New Asgard au atarudi kule kwao akajenge upya kama Korg alivyo suggest...Mwisho wa Endgame si unaona walikua wapo kwenye ndege na Peter Quill wanagombania ukapteni. Nadhani Peter quill nae atakuwemo
 
Imani yako tu kama sio thabiti ndo itakutoa relini

Mimi huwa curious naziangaliaga Sana kuna vitu hua najiuliza kwa nini wahusika wawe portrayed vile kuna nini hasa mfano tamthiliya zote mbili dominion na supernatural watengenezaji ni tofauti ila kuna vitu vinashangaza na pia na baadhi ya hzi single movies zenye themes Kama hyo utakuta vitu vifuatavyo vinafanana

Mungu (father) Hana relationship nzuri na (watoto) wake arch angels

Lucifer ana m blame God kwa vile alivyomfanyia anadhani hakustahili adhabu ile

Na baadhi ya taamthiliya kama season ya Lucifer ame act kama ameondoka hell hakupendi hell na anasema kuko bored anafanya kazi ya kuchoma watu ni God kataka awe pale pia ame act kama changed Man blame his father (God) for what he became ..duuh hatar sana


Gabriel anakuwa muhusika au miongoni mwa arch angel ambae anakuwa portrayed evil na anaamini mungu amepoteza upendo kwa watoto wake (angels) sababu ya existence ya Human being mungu amezidi kuwapenda binadamu

Arch angel Michael always a hero a favorite dady (God) son na pia anakuwa portrayed kama hope ya Human being survival I'm not Christian but naskia kuna kitu kinaitwa crusede War lakini mbona hizi movie aziongelei hilo hailipi uzito hilo always war human being against angel je is it true angel will start war against human being ?...hzi ni movie tu [emoji16]



Matendo yote tuyafanyao ni kama yamekuwa planned inspite the fact that tunakuwa na free will (supernatural season 14 last episode) and God just enjoying watching us Like a some sort of TV show
Daah wazungu wanadhambi sana [emoji16]

God disappearances daah almost muvi zilizo kweny categories hizi hichi kitu wanakielezea God ata step aside atatuacha kama tulivyo Angel wata start resistance against us wakiamin sisi ni chanzo ...why wanapenda kuitumia hii themes


Tukiachana na muvi dizaini hii kuna hii wanaita davinci demons ina vitu vingi sana vya ku Note ila sema sometimes tunaangalia just for fun but kwa nini waweke vitu Fulani na kuondoa Fulani wanajaribu kutaka kufanya nini?


Just enjoy the movies
Kama season ya Supernatural nilianza kuitizama tangu 2008... Imani yako isipokuwa thabiti umekwenda na maji.
 
Siccin no. 1
Siccin no. 2
Siccin no. 3
Siccin no. 4
Siccin no. 5

The Conjuring
The Possession
Jeeper Screapers 1&2
Texas Chain Saw- Sawyer's Family

Nitaendelea...
[/QUOTE










Mi nataka kudownload movie nafanyaje sa em kama unajua nielekeze
 
Kwenye nchi yetu hatuna huduma yake sidhan kwakweli labda huyo mtu yupo abroad

Netflix sometimes sio nzuri

Jaribu Hawa cw series hasa cw seed kuna kimbembe huko
Nashangaa kwa nini mnasema hatuna Netflix hapa kwetu. Nilishawahi kuitumia mwezi mzima; yaani siwaelewi kabisa
 
Swali linakuja je atamuacha yule Dada aendelee kuingoza Asgard au vipi maana inaisha anaamua kuungana na guardian of the galaxy inaonekana kama ameiyacha kabisa

Kwenye marvel cinematic Universe guardian of the galaxy bado wana kimbembe kizito kwa sababu kama unakumbuka vol 2 inaisha Yule queen wa ile planet ambao wametengeneza uadui ametengeneza dangerous weapon something like humanoid kweny end credit scene tunaona hio silaha yake alioiumba anaiita Adam hapo sasa sjui kama Thor atakuwepo kweny hio guardian mpya maana next villan wa guardian of galaxy ni balaaa
Yep itakua mwendelezo wa Doctor strange..
Love and thunder itakua 2022 hukoo..Mimi mwenyewe natamani kufahamu atabaki New Asgard au atarudi kule kwao akajenge upya kama Korg alivyo suggest...Mwisho wa Endgame si unaona walikua wapo kwenye ndege na Peter Quill wanagombania ukapteni. Nadhani Peter quill nae atakuwemo
 
Netflix tamu sana ila bei kitu kama 25k hivi ila unakuta mtu kailipia afu haitumii dah..
Af telegram kuna chanel (group) moja ya hackers wanadukua account za watu za Netflix itune tidal ad za bank af zinaletwa kule buree ila kujilinda ni juu yko user name na password kila kitu unapewa free ni mwendo wa kulog in na kupakua madude nishatumiaga ila now nisha achaga Ni kama darkweb web flan hivii
 
Back
Top Bottom