SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Very trueUtamu wa horror unangalia usiku umezima taa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very trueUtamu wa horror unangalia usiku umezima taa
Hautajuta nakwambia.Mamii naona ushanitia tamaa..mm sijawahi kutizama hata singo episode ya GOT ila leo ngoja nikainunue S1 nione kilichomo..
Sio shida Mimi nikitaka single movie naingia google naandika index of movie zinakuja zote na download yeyote hizi applications za muvi nimezifutaMy friend anatumia anaangaliaga movie ila mchoyo sana but huaga anaangalia movie ye kapewa iyo account ya netflix anawekaga bando lake 1gb then anaangalia movie
Nimeangalia American horror story (AHS) zote.1. The Masters of Horror Season 1 & 2:
Kwenye hii series ma director wengi wa movies za horror wakakutana wakatengeneza hii series, kila episode ni story tofauti, inatisha balaah kuliko ata most movies
2. American Horror story:
nayo ni series ya horror, kwenye hii series kila season ina story yake, zipo season saba kama sikosei, season1 inahusu nyumba yenye historia ya vifo, kila anaepanga humo lazma afe, Season 2 inahusu hospitali ya vichaa, season inahusu wachawi, 4, 5, 6 sikumbuki vizuri but kama ni mpenzi wa horror hizi series are worth watching
Yap nilipata kuitizama 2012/ ilikuwa poa sana
Naikubal sana imefikia kutamuSupernatural ni series kali sanaam
Hio si ni miongoni mwa muendelezo WA muvi ya Dr strange ?Kuna horror muvi inakuja 2021 inaita Doctor strange in Multiverse of Madness. Very scary si unajua atakuwepo Scarlet Witch..
Yep itakua mwendelezo wa Doctor strange.Hio si ni miongoni mwa muendelezo WA muvi ya Dr strange ?
Ktk muvi marvel wamezi announce miongoni kwa miaka ijayo ambayo ni taisubiria kwa hamu kuliko zote ni
Thor :love and thunder sjui kama ntakua jina nimeliandika vzr
Kuna vitu vingi nataka kujua kuhusu huyo jamaa na baadhi ya maamuzi aliyoyafanya outcome zake je alikuwa sahihi
Kama season ya Supernatural nilianza kuitizama tangu 2008... Imani yako isipokuwa thabiti umekwenda na maji.Imani yako tu kama sio thabiti ndo itakutoa relini
Mimi huwa curious naziangaliaga Sana kuna vitu hua najiuliza kwa nini wahusika wawe portrayed vile kuna nini hasa mfano tamthiliya zote mbili dominion na supernatural watengenezaji ni tofauti ila kuna vitu vinashangaza na pia na baadhi ya hzi single movies zenye themes Kama hyo utakuta vitu vifuatavyo vinafanana
Mungu (father) Hana relationship nzuri na (watoto) wake arch angels
Lucifer ana m blame God kwa vile alivyomfanyia anadhani hakustahili adhabu ile
Na baadhi ya taamthiliya kama season ya Lucifer ame act kama ameondoka hell hakupendi hell na anasema kuko bored anafanya kazi ya kuchoma watu ni God kataka awe pale pia ame act kama changed Man blame his father (God) for what he became ..duuh hatar sana
Gabriel anakuwa muhusika au miongoni mwa arch angel ambae anakuwa portrayed evil na anaamini mungu amepoteza upendo kwa watoto wake (angels) sababu ya existence ya Human being mungu amezidi kuwapenda binadamu
Arch angel Michael always a hero a favorite dady (God) son na pia anakuwa portrayed kama hope ya Human being survival I'm not Christian but naskia kuna kitu kinaitwa crusede War lakini mbona hizi movie aziongelei hilo hailipi uzito hilo always war human being against angel je is it true angel will start war against human being ?...hzi ni movie tu [emoji16]
Matendo yote tuyafanyao ni kama yamekuwa planned inspite the fact that tunakuwa na free will (supernatural season 14 last episode) and God just enjoying watching us Like a some sort of TV show
Daah wazungu wanadhambi sana [emoji16]
God disappearances daah almost muvi zilizo kweny categories hizi hichi kitu wanakielezea God ata step aside atatuacha kama tulivyo Angel wata start resistance against us wakiamin sisi ni chanzo ...why wanapenda kuitumia hii themes
Tukiachana na muvi dizaini hii kuna hii wanaita davinci demons ina vitu vingi sana vya ku Note ila sema sometimes tunaangalia just for fun but kwa nini waweke vitu Fulani na kuondoa Fulani wanajaribu kutaka kufanya nini?
Just enjoy the movies
Ni kwel kabisa na bado inaeendelea 2019 hapa ilipofikia God anaonekana Kama mkosefuKama season ya Supernatural nilianza kuitizama tangu 2008... Imani yako isipokuwa thabiti umekwenda na maji.
Money Heist nzuri ila imekuja kuniboa pale walipomrudisha Berlin kwa jina lingineAfu katika series napenda
THE GIFTED
KWANZA MONEY HEIST
SINBAD
24LEGACY
TYRANNY
SLEEPY HORROW
GOTHAM
Money Heist nzuri ila imekuja kuniboa pale walipomrudisha Berlin kwa jina lingine
Siccin no. 1
Siccin no. 2
Siccin no. 3
Siccin no. 4
Siccin no. 5
The Conjuring
The Possession
Jeeper Screapers 1&2
Texas Chain Saw- Sawyer's Family
Nitaendelea...
[/QUOTE
Mi nataka kudownload movie nafanyaje sa em kama unajua nielekeze
Nashangaa kwa nini mnasema hatuna Netflix hapa kwetu. Nilishawahi kuitumia mwezi mzima; yaani siwaelewi kabisaKwenye nchi yetu hatuna huduma yake sidhan kwakweli labda huyo mtu yupo abroad
Netflix sometimes sio nzuri
Jaribu Hawa cw series hasa cw seed kuna kimbembe huko
Yep itakua mwendelezo wa Doctor strange..
Love and thunder itakua 2022 hukoo..Mimi mwenyewe natamani kufahamu atabaki New Asgard au atarudi kule kwao akajenge upya kama Korg alivyo suggest...Mwisho wa Endgame si unaona walikua wapo kwenye ndege na Peter Quill wanagombania ukapteni. Nadhani Peter quill nae atakuwemo
Af telegram kuna chanel (group) moja ya hackers wanadukua account za watu za Netflix itune tidal ad za bank af zinaletwa kule buree ila kujilinda ni juu yko user name na password kila kitu unapewa free ni mwendo wa kulog in na kupakua madude nishatumiaga ila now nisha achaga Ni kama darkweb web flan hiviiNetflix tamu sana ila bei kitu kama 25k hivi ila unakuta mtu kailipia afu haitumii dah..
Lugha uliyotumia kuandika sijaielewa.Mi na
Nashangaa kwa nini mnasema hatuna Netflix hapa kwetu. Nilishawahi kuitumia mwezi mzima; yaani siwaelewi kabisa