Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo
Inahusu matukio ambayo hayaelekezeki kwa njia ya kawaida yanayohusisha supernatural. Hayo matukio yanaweza yakawa yanatokea kwenye maeneo tofauti ambapo science imeshindwa kutoa majawabu ya moja kwa moja (kwa sababu wenzetu waamini majibu yanapatikana kwenye science).

Sasa kutisha ama kutokutisha inategemea mahali ambapo wanaenda kufanya hiyo activity. Sehemu nyengine zinatisha na wanakumbwa na mambo ya kutisha wanakimbia, sehemu nyengine ni kati kwa kati, nyengine ni kawaida.

Kuna nyengine wananunua vitu vyenye laana "cursed" na kuona kama ni kweli vinalaana au uzushi. Vyengine vinawashinda.

Usiogope! Ni kurasa nyengine ya maisha, yafurahie.
 
What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo
Screenshot_20200323-135951~2.png
 
Attachments

  • Screenshot_20200323-135951.png
    Screenshot_20200323-135951.png
    113.8 KB · Views: 20
Kila siku napitia jukwaa hili kuangalia vijana jinsi wanavyosifia movie za kutisha najikuta nacheka Sana,Kwa mfano movie kama wrong turn nayo eti ni inatisha?

Nilikuwa nasubir Nani ameshawahi kuiona hiyo movie ya EVIL DEAD Ila leo nashukuru Mkuu umeifanya hiyo movie kuwa namba 1 hakika Kwa Mtu ambaye ni mtu wa movie za kutisha kama hajaiona hii kitu basi huyo bado ni mchanga.
Sometimes unakuta mpaka mabinti nao wanaangalia horror movie na anamaliza movie yote, wajaribu hii movie sidhani kama wataweza kuimaliza......nimeangalia movie nyingi Sana za kutisha Ila evil dead ni zaidi ya zote hata msanii wa hip hop Eminem alishawahi kuisifia hiyo movie na akatoa nyimbo Kwa jina hilo
Binti anavoisema hio "cut it........CUT IT!!! Hahahahaha
Evil dead ni masterpiece ila cheki sinccin pia.
 
Mimi movie nisiyoweza kuangalia ni ile yenye kushtua moyo mara kwa mara ila hizi hata horror hata nione mtu anachinjwa naangalia vzr hata iwe saa 9 usiku, kwa sababu najua ni maigizo tu.
 
Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo
Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao ,walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku , kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, nami hii movie nimeikumbuka ila jina ndio limenitoka
 
Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo

Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao ,walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku , kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na demu wake na mshikaji wake nae akiwa na demu wake, na jamaa (star) ndio alikuwa muoga kuliko wenzake wote.
 
Embu wadau wa horror movies leteni tuwaze pamoja mpaka tukumbuke jina la hii movie.
Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo

Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao, walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku, kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna uzi wa kushusha Movies hapa JF?.... kama kuna mtu anayefahamu au links salama za kudownload ashee mami tafadhali🙏🏼
 
Hivi hakuna uzi wa kushusha Movies hapa JF?.... kama kuna mtu anayefahamu au links salama za kudownload ashee mami tafadhali🙏🏼
Tembelea website inaitwa nkiri.com utapata movies, korean drama & asian movies na series kwa mb chache but kwa Quality bora
 
Back
Top Bottom