Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Hatimaye nimepata muoga mwenzangu [emoji1][emoji1]Mwana ghost house ni kisanga asee. Siwezi kuiangalia usiku nikalala kwa amani hata kidogo [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye nimepata muoga mwenzangu [emoji1][emoji1]Mwana ghost house ni kisanga asee. Siwezi kuiangalia usiku nikalala kwa amani hata kidogo [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Hizi movie ni za kutisha Sana. Ukiwa muoga Sana huwezi kutizama.Texas Chainsaw...Wrong turn...hizo mbili huwa sijawahi kutazama hadi mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha inatisha. Mimi kipindi naicheki haikunipa shida sana coz nilishazizoea ila mdau niliyeangalia naye sasa.Mwana ghost house ni kisanga asee. Siwezi kuiangalia usiku nikalala kwa amani hata kidogo [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusu matukio ambayo hayaelekezeki kwa njia ya kawaida yanayohusisha supernatural. Hayo matukio yanaweza yakawa yanatokea kwenye maeneo tofauti ambapo science imeshindwa kutoa majawabu ya moja kwa moja (kwa sababu wenzetu waamini majibu yanapatikana kwenye science).What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo
Hahahaha..Mwana ghost house ni kisanga asee. Siwezi kuiangalia usiku nikalala kwa amani hata kidogo [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo
Hii movie naikubali vibaya. Niliitizama part 1&2. Usiku bhana ukifika nikawa naogopa kutoka. Maana Jeeper Screepers ndiyo muda wake huo anapaa usiku. Ilikuwa ni 2009 hiyo!
Binti anavoisema hio "cut it........CUT IT!!! HahahahahaKila siku napitia jukwaa hili kuangalia vijana jinsi wanavyosifia movie za kutisha najikuta nacheka Sana,Kwa mfano movie kama wrong turn nayo eti ni inatisha?
Nilikuwa nasubir Nani ameshawahi kuiona hiyo movie ya EVIL DEAD Ila leo nashukuru Mkuu umeifanya hiyo movie kuwa namba 1 hakika Kwa Mtu ambaye ni mtu wa movie za kutisha kama hajaiona hii kitu basi huyo bado ni mchanga.
Sometimes unakuta mpaka mabinti nao wanaangalia horror movie na anamaliza movie yote, wajaribu hii movie sidhani kama wataweza kuimaliza......nimeangalia movie nyingi Sana za kutisha Ila evil dead ni zaidi ya zote hata msanii wa hip hop Eminem alishawahi kuisifia hiyo movie na akatoa nyimbo Kwa jina hilo
Ngoja nitafute mkuuBinti anavoisema hio "cut it........CUT IT!!!!. Hahahahaha
Evil dead ni masterpiece ila cheki sinccin pia .
Mmh. Ngoja kwanza nitafute mtu wa kuangalia nae, mwenyewe sitaweza.
Hatimaye nimepata muoga mwenzangu [emoji1][emoji1]
Daah, nami hii movie nimeikumbuka ila jina ndio limenitokaKuna movie niliangalia nikiwa ndogo
Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao ,walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku , kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na demu wake na mshikaji wake nae akiwa na demu wake, na jamaa (star) ndio alikuwa muoga kuliko wenzake wote.Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo
Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao ,walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku , kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo
Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao, walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku, kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea website inaitwa nkiri.com utapata movies, korean drama & asian movies na series kwa mb chache but kwa Quality boraHivi hakuna uzi wa kushusha Movies hapa JF?.... kama kuna mtu anayefahamu au links salama za kudownload ashee mami tafadhali🙏🏼
Hadi za zamani miaka ya 80 zinapatikana huko??Tembelea website inaitwa nkiri.com utapata movies, korean drama & asian movies na series kwa mb chache but kwa Quality bora