Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani.

Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea kwenye eneo moja mashuhuri kwa mapumziko huko jijini Cape town.

Ghafla kundi kubwa la wapenzi wa Palestina wakabomoa geti na kuvamia eneo hilo,Wakavunja vunja mabango yaliyokuwepo eneo hilo, habari hiyo ikawavuta mamia kadhaa ya wapenzi wa Palestina na waungaji mkono Hamas kwenye mitaa.

Wakiwa wamevaa kofia za Hamas na kupunga bendera za Palestina wafuasi hao wakazidi kuwafurusha waungaji mkono wa Israel ambao walikimbia.

Baada ya hapo polisi ikabidi kuingilia kati kuzuia madhara zaidi yasitokee.

Pro-Israel and pro-Palestinian groups clash in S. Africa

View attachment 2812204
Mwafrika(mweusi) ni ngozi ya tako,kabisa,Sudan waafrika weusi waliuliwa, na wanaendelea kuuliwa na Arabs Koko, usikii wakiandamana,
Leo Arabs wanauliwa, jitu jeusi linaumia!
 
Mwafrika(mweusi) ni ngozi ya tako,kabisa,Sudan waafrika weusi waliuliwa, na wanaendelea kuuliwa na Arabs Koko, usikii wakiandamana,
Leo Arabs wanauliwa, jitu jeusi linaumia!
Achana na mawazo ya kibaguzi wa rangi.Nani kakwambia Sudani ni vita vya weupe kwa weusi.Na nani kakwmbia Gaza hakuna watu weusi.Juzi kwenye msururu wa watu wanaoelekea kusini nimemuona muarabu mweusi kama sisi akiongoza na mke wake mweupe na watoto wake.Huyo ni mpalestina halisi.
 
tatizo huyo muarabu mweusi ni muislam
 
Back
Top Bottom