Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu mna coy maalum inayohusika na uuzaji wa magari au ni mtu anayehitaji kuuza gari lake anakufata then una play kama intermediary?
 
Nataka ,Toyota hilux sulf
bei 10M
IMG-20171111-WA0036.jpg
 
Mkuu mna coy maalum inayohusika na uuzaji wa magari au ni mtu anayehitaji kuuza gari lake anakufata then una play kama intermediary?
Mkuu kazi yetu kuu nikumsaidia mtu kuuza gari yake ndani ya muda mfupi lakini kazi yetu kuu zaidi na kipaombele chetu ni kumsaidia mteja kupata gari anayotaka ikiwa nzima na ikiwa haina magumashi aina yeyote.
Ni mipango yetu kujiboresha zaidi ili kufikia hayo malengo tajwa hapo juu kwa ufanisi zaidi.
Kujibu swali lako ni kwamba hatuna eneo maalumu lakini tunafanya kazi na mtu binafsi, kampuni na hata madalali wengine ili kufikia na kukidhi mahitaji ya wateja wetu. Karibu sana mkuu.
 
Shukran mkuu, nimekuelewa vyema
 
Nahitaji Premio new model..Nitajie kabisa na bei
 
Gharama za kuchange ownership ni za kwako mkuu, kuhusu Insurance ukishabadili ownership haitakua na maana tena kwako inabidi ukate nyengine sababu itakua na jina la mmiliki wa mwanzo
Mkuu gharama za kuchange ownership ni kiasi gani? Then ingekua vyema kama una group la whatsapp inakua rahisi kupata real-time updates
 
Sio gharama kubwa ni kati ya laki, laki na nusu.
Ni wazo zuri la group ila naomba unieleweshe zaidi, hao member wa group tunawachukua wapi, na maudhui ya group hasa itakua nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom