donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu mna coy maalum inayohusika na uuzaji wa magari au ni mtu anayehitaji kuuza gari lake anakufata then una play kama intermediary?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoya niaje 8.5M cash ipoIst model 2004,cc1290,mileage 83000km, bei 9M, contact 0689699704View attachment 628966View attachment 628967View attachment 628968View attachment 628969View attachment 628970
Master of the game kwenye biashara hii uko vizur huna mpinzani jamaa nakuelewa sana!
Gari zote zipo DarUko wapi?
bei 10MNataka ,Toyota hilux sulf
Asante mkuu, karibu sanaI real like the way you respond. Great dealer
Asante mkuu, karibu sanaMaster of the game kwenye biashara hii uko vizur huna mpinzani jamaa nakuelewa sana!
Mkuu kazi yetu kuu nikumsaidia mtu kuuza gari yake ndani ya muda mfupi lakini kazi yetu kuu zaidi na kipaombele chetu ni kumsaidia mteja kupata gari anayotaka ikiwa nzima na ikiwa haina magumashi aina yeyote.Mkuu mna coy maalum inayohusika na uuzaji wa magari au ni mtu anayehitaji kuuza gari lake anakufata then una play kama intermediary?
Ooh mkuu Kremme nakukumbuka ulinipatia kazi yako jana, gari ndio hiyo ni vyema kama umeipenda, ila mkuu hebu jisachi kidogo uongeze laki mbili tufanye biashara.Hoya niaje 8.5M cash ipo
Shukran mkuu, nimekuelewa vyemaMkuu kazi yetu kuu nikumsaidia mtu kuuza gari yake ndani ya muda mfupi lakini kazi yetu kuu zaidi na kipaombele chetu ni kumsaidia mteja kupata gari anayotaka ikiwa nzima na ikiwa haina magumashi aina yeyote.
Ni mipango yetu kujiboresha zaidi ili kufikia hayo malengo tajwa hapo juu kwa ufanisi zaidi.
Kujibu swali lako ni kwamba hatuna eneo maalumu lakini tunafanya kazi na mtu binafsi, kampuni na hata madalali wengine ili kufikia na kukidhi mahitaji ya wateja wetu. Karibu sana mkuu.
Gharama za kuchange ownership ni za nani, nipe status ya insurance yakeOoh mkuu Kremme nakukumbuka ulinipatia kazi yako jana, gari ndio hiyo ni vyema kama umeipenda, ila mkuu hebu jisachi kidogo uongeze laki mbili tufanye biashara.
Nahitaji Premio new model..Nitajie kabisa na beiMkuu kazi yetu kuu nikumsaidia mtu kuuza gari yake ndani ya muda mfupi lakini kazi yetu kuu zaidi na kipaombele chetu ni kumsaidia mteja kupata gari anayotaka ikiwa nzima na ikiwa haina magumashi aina yeyote.
Ni mipango yetu kujiboresha zaidi ili kufikia hayo malengo tajwa hapo juu kwa ufanisi zaidi.
Kujibu swali lako ni kwamba hatuna eneo maalumu lakini tunafanya kazi na mtu binafsi, kampuni na hata madalali wengine ili kufikia na kukidhi mahitaji ya wateja wetu. Karibu sana mkuu.
Gharama za kuchange ownership ni za kwako mkuu, kuhusu Insurance ukishabadili ownership haitakua na maana tena kwako inabidi ukate nyengine sababu itakua na jina la mmiliki wa mwanzoGharama za kuchange ownership ni za nani, nipe status ya insurance yake
Mkuu siwezi pata IST nr D kwa M8?Gharama za kuchange ownership ni za kwako mkuu, kuhusu Insurance ukishabadili ownership haitakua na maana tena kwako inabidi ukate nyengine sababu itakua na jina la mmiliki wa mwanzo
Mkuu gharama za kuchange ownership ni kiasi gani? Then ingekua vyema kama una group la whatsapp inakua rahisi kupata real-time updatesGharama za kuchange ownership ni za kwako mkuu, kuhusu Insurance ukishabadili ownership haitakua na maana tena kwako inabidi ukate nyengine sababu itakua na jina la mmiliki wa mwanzo
Ipo Premio namba DKG, imetembea km 55000,bei 12M, contact 0689699704Nahitaji Premio new model..Nitajie kabisa na bei
Sio gharama kubwa ni kati ya laki, laki na nusu.Mkuu gharama za kuchange ownership ni kiasi gani? Then ingekua vyema kama una group la whatsapp inakua rahisi kupata real-time updates