Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

Yeah aisee. Sema uwe na msemo mmoja kichwani, it’s about a journey not a destination. Itakusaidia kuenjoy safari na sio kukimbia kimbia ufike unakoenda.

Na ukiwa na co-pilot unyama sana, kazi yake kucontrol AC, kubadirisha nyimbo, kukupigisha story, kujibu msg zako, nk.
Ongezea kukupokelea simu na kukuwekea loud speaker😀
 
Back
Top Bottom