Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NUnua rafiki yangu inakufaash ngap hio boss
Hadi sasa mwaka na nusu sijaona challenge. Issue ya DPF uwa napambana nayo kwa kuendesha sana atleast mara moja kwa week 2 hivi, pia nishajua after every 150km inataka regeneration kwahiyo job-home nikipiga week nzima basi naitafutia Bagamoyo mara moja, najitahidi diesel niweke safi na taa isiwake, nimekua mzembe this time kwenye oil change ila jitahidi na utumie premium oil natumiaga 5w30 ACEA C3 sahivi nataka nijaribu Liquimolly, filter kila oil change (oil inataka 5L kila lita almost 20k na filter 20k) the rest mi nikiona tuta kubwa siendi maana iko na ground clearance ndogo..Hebu tupeane na ukweli kuhusu madhaifu mengine...naona imenivutia
Mad Max
Ulikwepaje import duty? Ni kitu kinawezekana kama ukiongea na watu vzr au inakuaje😂😂 tuokoeMkuu. Haitahitaji uzi hii nitakuandikia tu hapa hapa:
Hiyo ni Atenza 2016, engine Diesel cc2,200
Baadhi ya info mfano exactly bei naweza kua sina kumbukumbu maana niliagiza mwaka na kidogo ushaisha. Ila naamini ilikua Mil 14-15 hivi.
Ukitaka Atenza cheap, ni kuanzia 2014 kurudi nyuma ila ndani kuna cosmetics utazimiss. Mfano angalia hizi picha mbili, za Atenza ya 2014 juu na ya 2016 chini.
View attachment 3112369View attachment 3112370
Unaweza usione tofauti, ila angalia iyo screen ilivokaa, angalia handbrake na angalia iko kidufe cha kucontrol multimedia pembeni ya gear.
Okay.
Kuhusu kuagiza, nilikaa mwenyewe kwenye simu, siku hizi rahisi sana. Dollar zilikua zinasumbua nikaenda kulipia Beforward ofisini kwao. Rate haikua nzuri, bank walikua $1 ni Tsh 2350 nadhani pale nilipigwa Tsh 2450/= nawaza sahivi $1 ni Tsh 2700 hadi mwili unasisimka.
Janja janja za kuchagua gari online tutadiscuss siku nyingine lakini nilivopata nikalipia basi the rest unakua unafuata muongozo wa Beforwad
Walivotuma document nikalipia kodi. Ilikua ndogo sana arround Mil 7.5 sahivi imeshoot sana. Inafika Mil 10+ nadhani sababu ya dollar na TRA wenyewe.
Kabla ya kulipa kodi nikakomaa na boss wangu nikaomba exemptions. Walinitolea ile importy duty nadhani ni $1300 ilikua so the rest ndio nilipa arround Mil 5.
Ilivofika agent akatoa, ila hakusajili nikaangaika kwanza na chasis number kama miezi hivi ndio nikaweka namba.
Simple tu.
Ila TRA wanatukwamisha sana kumiliki chuma kali kali basi tu, yaani huo ushuru napata ka passo kadogo kama nyongezaCIF kuanzia $4300 hadi 5500 kutegemea na mwaka, condition etc.
TRA nao wanataka Milion 9 hadi Million 13 kutegemea na mwaka.
TRA wamepeg ushuru kwenye dollar. Ingawa unalipa kwa shiiling ila ni kwa thamani ya dollar siku husika. Usishangae gari ya ushuru wa million 10 leo next October ukalipa 13 million.Na mpango wa kushusha ata hawana.
Yenge CC1600 au CC2000,maana hii ya CC1600 ni 16km/l.Impreza ikijitahd Sana 13km / l
6 to 7.2/100km/l hii nimeitoa kwenye sites mbalimbali ,ila rate yake ndio hiyo. Real practical hii siwezi kuiongelea kwa sasa,ila nina mpango wa kuvuta Impreza 2015-18,Japo kuna wana wengi wananiambia ni chukue RVR.Average au highway?
Hiyo gari kila nikiangalia bei ipo juu sana nikaja kuifatilia nikajua pana miguu imeongezwa ipo tofauti sana.Subaru WRX sti ilikuwepo kwenye mashindano? Hii gari ni balaa Sana kwenye kwenye drag race
Nimeyapenda hayo majukumu ya co-pilot!!!....itapendeza hasa akiwa ni wife akiwa akajibu hizo meseji!!!Yeah aisee. Sema uwe na msemo mmoja kichwani, it’s about a journey not a destination. Itakusaidia kuenjoy safari na sio kukimbia kimbia ufike unakoenda.
Na ukiwa na co-pilot unyama sana, kazi yake kucontrol AC, kubadirisha nyimbo, kukupigisha story, kujibu msg zako, nk.
vuta chumaKaka kama hutojali please share safari yako ya kununua hii mazda i mean ulipoagiza gharama na tra je ulitumia agent? Au ulipia mwenyew na kwenda kufata mwenyew na changamoto yake
Pia usisahau kututajia mwaka wa hio gari na kodi maan izo backlight mzee so sick
Asante
umetisha mwamba, 👍Mkuu. Haitahitaji uzi hii nitakuandikia tu hapa hapa:
Hiyo ni Atenza 2016, engine Diesel cc2,200
Baadhi ya info mfano exactly bei naweza kua sina kumbukumbu maana niliagiza mwaka na kidogo ushaisha. Ila naamini ilikua Mil 14-15 hivi.
Ukitaka Atenza cheap, ni kuanzia 2014 kurudi nyuma ila ndani kuna cosmetics utazimiss. Mfano angalia hizi picha mbili, za Atenza ya 2014 juu na ya 2016 chini.
View attachment 3112369View attachment 3112370
Unaweza usione tofauti, ila angalia iyo screen ilivokaa, angalia handbrake na angalia iko kidufe cha kucontrol multimedia pembeni ya gear.
Okay.
Kuhusu kuagiza, nilikaa mwenyewe kwenye simu, siku hizi rahisi sana. Dollar zilikua zinasumbua nikaenda kulipia Beforward ofisini kwao. Rate haikua nzuri, bank walikua $1 ni Tsh 2350 nadhani pale nilipigwa Tsh 2450/= nawaza sahivi $1 ni Tsh 2700 hadi mwili unasisimka.
Janja janja za kuchagua gari online tutadiscuss siku nyingine lakini nilivopata nikalipia basi the rest unakua unafuata muongozo wa Beforwad
Walivotuma document nikalipia kodi. Ilikua ndogo sana arround Mil 7.5 sahivi imeshoot sana. Inafika Mil 10+ nadhani sababu ya dollar na TRA wenyewe.
Kabla ya kulipa kodi nikakomaa na boss wangu nikaomba exemptions. Walinitolea ile importy duty nadhani ni $1300 ilikua so the rest ndio nilipa arround Mil 5.
Ilivofika agent akatoa, ila hakusajili nikaangaika kwanza na chasis number kama miezi hivi ndio nikaweka namba.
Simple tu.
Kaka hizi janja janja hutatupa mpka sasa , me nmeona za 2014 zinaisha sana na bei zake zinafika mpk 6k$ mpk dar na juzi nliamgalia nkaona 2015 grey mpk dar ni 5k$Mkuu. Haitahitaji uzi hii nitakuandikia tu hapa hapa:
Hiyo ni Atenza 2016, engine Diesel cc2,200
Baadhi ya info mfano exactly bei naweza kua sina kumbukumbu maana niliagiza mwaka na kidogo ushaisha. Ila naamini ilikua Mil 14-15 hivi.
Ukitaka Atenza cheap, ni kuanzia 2014 kurudi nyuma ila ndani kuna cosmetics utazimiss. Mfano angalia hizi picha mbili, za Atenza ya 2014 juu na ya 2016 chini.
View attachment 3112369View attachment 3112370
Unaweza usione tofauti, ila angalia iyo screen ilivokaa, angalia handbrake na angalia iko kidufe cha kucontrol multimedia pembeni ya gear.
Okay.
Kuhusu kuagiza, nilikaa mwenyewe kwenye simu, siku hizi rahisi sana. Dollar zilikua zinasumbua nikaenda kulipia Beforward ofisini kwao. Rate haikua nzuri, bank walikua $1 ni Tsh 2350 nadhani pale nilipigwa Tsh 2450/= nawaza sahivi $1 ni Tsh 2700 hadi mwili unasisimka.
Janja janja za kuchagua gari online tutadiscuss siku nyingine lakini nilivopata nikalipia basi the rest unakua unafuata muongozo wa Beforwad
Walivotuma document nikalipia kodi. Ilikua ndogo sana arround Mil 7.5 sahivi imeshoot sana. Inafika Mil 10+ nadhani sababu ya dollar na TRA wenyewe.
Kabla ya kulipa kodi nikakomaa na boss wangu nikaomba exemptions. Walinitolea ile importy duty nadhani ni $1300 ilikua so the rest ndio nilipa arround Mil 5.
Ilivofika agent akatoa, ila hakusajili nikaangaika kwanza na chasis number kama miezi hivi ndio nikaweka namba.
Simple tu.
Kwa hiyo nikiwa na 25m napata chuma bila shakaHapo unanunua kwa Mil 12 na TRA unakuta wanataka Mil 12