Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea kitu ambacho sjjakiongelea.Regardless ya CC
Subaru is a gas guzzler... Hata Dualis in 2000cc ila ina ulaji mzuri kuliko Subaru
Ni kweli, ila Forester ukiendesha iko comfortable sana tofauti na Rumion.Ni vitu viwili tofauti mkuu, kama umezoea cc 1500 alafu ukija huku cc2000 ni balaa mno kwenye wese ila nimeshaanza kuzoea
Sawa Rumion ni 1.8L ila Subaru ni 2.0L...Kwenye comparison fairly ulitakiwa uongelee gari yenye 2.0LUnaongelea kitu ambacho sjjakiongelea.
Tumeongelea Toyota Rumion na Subaru Forester na sio Dualis!
Nimeongelea hizo gari 2 (Rumion na Forester) ni kitokana na comment ya huyo member (angalia post #23) kwamba alikuwa na Ruminio na sasa anayo Forester.Sawa Rumion ni 1.8L ila Subaru ni 2.0L...Kwenye comparison fairly ulitakiwa uongelee gari yenye 2.0L
Rumion G series ni cc1500Sawa Rumion ni 1.8L ila Subaru ni 2.0L...Kwenye comparison fairly ulitakiwa uongelee gari yenye 2.0L
🤣 shida vijana hamtak kuanzia gari ya bei ya kawaida, ukisoma uzi zake jamaa huyo gari yake ya kwanza alinunua 8m kama ckosei..... so mm unaweza ukawa una ndoto ya gari fulan lakin unaweza ukachukua gari ndogo then baadae una iuza na kuchukua gari nyingine mpaka unafikia lengoDah kumbe bado ninasafar ndefu katika kutafuta pesa
Umeongea kitu cha ukweli na msingi sana.🤣 shida vijana hamtak kuanzia gari ya bei ya kawaida, ukisoma uzi zake jamaa huyo gari yake ya kwanza alinunua 8m kama ckosei..... so mm unaweza ukawa una ndoto ya gari fulan lakin unaweza ukachukua gari ndogo then baadae una iuza na kuchukua gari nyingine mpaka unafikia lengo
BMW X5 M50d suv yenye uwezo wa kuvuta scania hii gari ipo moja hapa dar huwa inanitoa akili nimejaribu kuiwinda huko nje zipo chache na bei mkasiDiesel uikute kwenye 3.0TDi or M50D au XD35 au kwenye VXR
Hii sio Cc 5,000?BMW X5 M50d suv yenye uwezo wa kuvuta scania hii gari ipo moja hapa dar huwa inanitoa akili nimejaribu kuiwinda huko nje zipo chache na bei mkasi
Ni kwl watu wanaona mtu akinunua gari m40 kua ana pesa sana kumbe watu huanzia mbaliUmeongea kitu cha ukweli na msingi sana.
Vipato vya kawaida tunaanza na hizi Runx, Corolla, IST, etc ambazo used unaweza kupata Mil 7-10 kali kabisa.
Kaka kama hutojali please share safari yako ya kununua hii mazda i mean ulipoagiza gharama na tra je ulitumia agent? Au ulipia mwenyew na kwenda kufata mwenyew na changamoto yakeHapo unanunua kwa Mil 12 na TRA unakuta wanataka Mil 12
Mkuu. Haitahitaji uzi hii nitakuandikia tu hapa hapa:Kaka kama hutojali please share safari yako ya kununua hii mazda i mean ulipoagiza gharama na tra je ulitumia agent? Au ulipia mwenyew na kwenda kufata mwenyew na changamoto yake
Pia usisahau kututajia mwaka wa hio gari na kodi maan izo backlight mzee so sick
Asante
Diesel iko poa sana kwa wese mkali.21km/L
Hiyo imekaa poa sana, ingekuwa ni hybrid nadhani balaa lingeongezeka, hapo ingekula karibia 35km/L huko, ama hiyo gari ni hybrid kaka?
Kwa diesel pia sishangai sana, nilikuwa na xtrail ya diesel, ulaji wake haukuwa kama hizi za petrol, kwa mwaka 2021, kwa mafuta ya laki unaenda dar to dom na ukifika huko, unapiga misele mpaka unajiuliza gari ina kisima cha wese, na kurudi unaweka wese la laki ukifika dar, misele ya kutosha.
Mkuu. Haitahitaji uzi hii nitakuandikia tu hapa hapa:
Hiyo ni Atenza 2016, engine Diesel cc2,200
Baadhi ya info mfano exactly bei naweza kua sina kumbukumbu maana niliagiza mwaka na kidogo ushaisha. Ila naamini ilikua Mil 14-15 hivi.
Ukitaka Atenza cheap, ni kuanzia 2014 kurudi nyuma ila ndani kuna cosmetics utazimiss. Mfano angalia hizi picha mbili, za Atenza ya 2014 juu na ya 2016 chini.
View attachment 3112369View attachment 3112370
Unaweza usione tofauti, ila angalia iyo screen ilivokaa, angalia handbrake na angalia iko kidufe cha kucontrol multimedia pembeni ya gear.
Okay.
Kuhusu kuagiza, nilikaa mwenyewe kwenye simu, siku hizi rahisi sana. Dollar zilikua zinasumbua nikaenda kulipia Beforward ofisini kwao. Rate haikua nzuri, bank walikua $1 ni Tsh 2350 nadhani pale nilipigwa Tsh 2450/= nawaza sahivi $1 ni Tsh 2700 hadi mwili unasisimka.
Janja janja za kuchagua gari online tutadiscuss siku nyingine lakini nilivopata nikalipia basi the rest unakua unafuata muongozo wa Beforwad
Walivotuma document nikalipia kodi. Ilikua ndogo sana arround Mil 7.5 sahivi imeshoot sana. Inafika Mil 10+ nadhani sababu ya dollar na TRA wenyewe.
Kabla ya kulipa kodi nikakomaa na boss wangu nikaomba exemptions. Walinitolea ile importy duty nadhani ni $1300 ilikua so the rest ndio nilipa arround Mil 5.
Ilivofika agent akatoa, ila hakusajili nikaangaika kwanza na chasis number kama miezi hivi ndio nikaweka namba.
Simple tu.