Hata vw golf nayo ya moto inaweza kukutoa knockoutKuna Polo ilinionesha kwamba Turbo ni kitu cha mihimu sana.
Wewe jamaaaa mbona unafanana Sana na Mimi?Hakuna jambo zuri Duniani kama kuzungukazunguka tu hasa na usafiri binafsiš š
Mkuu huo mzunguko wako umetumia mafuta kidogo Sana...haya ndiyo magari ya watu wa kipato cha wastani, kwenye forester naona jinsi ninavyotumia pesa kwenye wese tofauti nilivyokuwa na rumionKuna Polo ilinionesha kwamba Turbo ni kitu cha mihimu sana.
Ingekua usiku ningesave zaidi maana barabara nyeupe zaidi.Mkuu huo mzunguko wako umetumia mafuta kidogo Sana...haya ndiyo magari ya watu wa kipato cha wastani, kwenye forester naona jinsi ninavyotumia pesa kwenye wese tofauti nilivyokuwa na rumion
Ongezea kukupokelea simu na kukuwekea loud speakeršYeah aisee. Sema uwe na msemo mmoja kichwani, itās about a journey not a destination. Itakusaidia kuenjoy safari na sio kukimbia kimbia ufike unakoenda.
Na ukiwa na co-pilot unyama sana, kazi yake kucontrol AC, kubadirisha nyimbo, kukupigisha story, kujibu msg zako, nk.
Ahsante mkuu.Ndio ndio same car.
Ndio naangalia clips hapa, ile Audi nyeusi ni sportline nadhani𤣠imewachakaza sana JDMKulikuwa na drag race ingine Kigamboni bridge ulikuwepo?
Kwa mara nyingine tena familia ya VAG(VW AUDI Group) wameshinda.
Team Subaru,Tezza,Crown na wengineo wamechemka tena.
Cc Extrovert
Subaru WRX sti ilikuwepo kwenye mashindano? Hii gari ni balaa Sana kwenye kwenye drag raceKulikuwa na drag race ingine Kigamboni bridge ulikuwepo?
Kwa mara nyingine tena familia ya VAG(VW AUDI Group) wameshinda.
Team Subaru,Tezza,Crown na wengineo wamechemka tena.
Cc Extrovert
Fuel consumption nzuri ila maintainance ya diesel car ndio kichefu chefuGari ndogo ya diesel sijui naionaje. Anyway fuel consumption ya diesel gari ndogo iko vizuri sana.
Hizo zote zinanywewa kama maji.Subaru WRX sti ilikuwepo kwenye mashindano? Hii gari ni balaa Sana kwenye kwenye drag race
Gari ya CC 1,500 unataka kullnganisha na gari ya CC 2,000!Mkuu huo mzunguko wako umetumia mafuta kidogo Sana...haya ndiyo magari ya watu wa kipato cha wastani, kwenye forester naona jinsi ninavyotumia pesa kwenye wese tofauti nilivyokuwa na rumion
Subaru is a gas guzzler... Hata Dualis in 2000cc ila ina ulaji mzuri kuliko SubaruGari ya CC 1,500 unataka kullnganisha na gari ya CC 2,000!
Ni vitu viwili tofauti mkuu, kama umezoea cc 1500 alafu ukija huku cc2000 ni balaa mno kwenye wese ila nimeshaanza kuzoeaGari ya CC 1,500 unataka kullnganisha na gari ya CC 2,000!