Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

Hebu tupeane na ukweli kuhusu madhaifu mengine...naona imenivutia
Mad Max
Hadi sasa mwaka na nusu sijaona challenge. Issue ya DPF uwa napambana nayo kwa kuendesha sana atleast mara moja kwa week 2 hivi, pia nishajua after every 150km inataka regeneration kwahiyo job-home nikipiga week nzima basi naitafutia Bagamoyo mara moja, najitahidi diesel niweke safi na taa isiwake, nimekua mzembe this time kwenye oil change ila jitahidi na utumie premium oil natumiaga 5w30 ACEA C3 sahivi nataka nijaribu Liquimolly, filter kila oil change (oil inataka 5L kila lita almost 20k na filter 20k) the rest mi nikiona tuta kubwa siendi maana iko na ground clearance ndogo..
 
Ulikwepaje import duty? Ni kitu kinawezekana kama ukiongea na watu vzr au inakuaje😂😂 tuokoe
 
CIF kuanzia $4300 hadi 5500 kutegemea na mwaka, condition etc.

TRA nao wanataka Milion 9 hadi Million 13 kutegemea na mwaka.
Ila TRA wanatukwamisha sana kumiliki chuma kali kali basi tu, yaani huo ushuru napata ka passo kadogo kama nyongeza
 
Ila TRA wanatukwamisha sana kumiliki chuma kali kali basi tu, yaani huo ushuru napata ka passo kadogo kama nyongeza
Na mpango wa kushusha ata hawana.
 
Na mpango wa kushusha ata hawana.
TRA wamepeg ushuru kwenye dollar. Ingawa unalipa kwa shiiling ila ni kwa thamani ya dollar siku husika. Usishangae gari ya ushuru wa million 10 leo next October ukalipa 13 million.
 
Ulikwepaje import duty? Ni kitu kinawezekana kama ukiongea na watu vzr au inakuaje😂😂 tuokoe
Hhahahaa
Mbona iko open, watumishi wa serikali ukiagiza gari liwe na chini ya miaka 8.
 
TRA wamepeg ushuru kwenye dollar. Ingawa unalipa kwa shiiling ila ni kwa thamani ya dollar siku husika. Usishangae gari ya ushuru wa million 10 leo next October ukalipa 13 million.
Kweli kitu kibaya sana.
 
Na sioni dollar ikishuka Zaidi ya kupanda. By December next year itakuwa 4000
 
Average au highway?
6 to 7.2/100km/l hii nimeitoa kwenye sites mbalimbali ,ila rate yake ndio hiyo. Real practical hii siwezi kuiongelea kwa sasa,ila nina mpango wa kuvuta Impreza 2015-18,Japo kuna wana wengi wananiambia ni chukue RVR.
 
Nimeyapenda hayo majukumu ya co-pilot!!!....itapendeza hasa akiwa ni wife akiwa akajibu hizo meseji!!!
 
vuta chuma
 
umetisha mwamba, 👍
 
Kaka hizi janja janja hutatupa mpka sasa , me nmeona za 2014 zinaisha sana na bei zake zinafika mpk 6k$ mpk dar na juzi nliamgalia nkaona 2015 grey mpk dar ni 5k$

Ukija angalia zote pamoja na kodi mpk unaishika hazipishan sana

Na ushauri wako nn kwa first time buyer
 

Attachments

  • IMG_9796.jpeg
    692.8 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…