Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

Kwahiyo ata SB nitainjoy tu fresh ingawa sio level ya HT.
 
Shukrani boss. Hiyo 2.1 itakua na surround effect nzuri kwa movies na game?
Ama kweli tunatofautiana matumizi, Mimi matumizi yangu kwenye sound system hizi natumia kwenye Mziki tu, hapo nina uhakika inafanya vyema, bass kali sana. kwenye movie sijajua ila ni bora uendane na teknolojia mkuu, HT ile sikushawishi pia watts zake ndogo haina maajabu sana kama utautunisha mfuko mpaka 680k Utapata HT ya 5.1 LG ama Sony watts 1000 bluetooth ndani, hapo magoli
 
Tazama mfano hapoView attachment 2269495
 

mkuu jana nmechukua hii sound bar, ni hatar, ni next level kiukwel, bas ya kutosha kwenye moviee ni kama uko movie theatre, mdau ulieandika hii thread nakushaur chukua sumsung sound bar aisee hizi A series, zote ziko poa maana nilitest jana zote shop, kama bajet yako aiko poa chuku a450, na kuna a 650 nayo ni moto
 
Ahsante mkuu kwa feedback, hii samsung naona watu wengi hawana. Ni soundbar iliyotulia vizuri sana. Mdundo kama wote. Utachagua sound unayotaka. Dts, bass boost, surround, Standand. Yaani ni balaa.
 
Ahsante mkuu kwa feedback, hii samsung naona watu wengi hawana. Ni soundbar iliyotulia vizuri sana. Mdundo kama wote. Utachagua sound unayotaka. Dts, bass boost, surround, Standand. Yaani ni balaa.
inaishinda kodtec yangu 2913?? kwa bass ya maana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…