Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

Pia unaweza pitia hiyo site wana trusted reviews za soundbars,una search model yako unapata uchambuzi wote kuanzia pros and cons mpaka MIXED USAGE RATING,yani music, movies na Dialogue.

Kwa Samsung unaweza cheki Q series kuanzia Q600A hizi Q series zina Dolby zote tofaut na A au T series za budget

hii site huwa naitumia sana mkuu, wanadadavua vizur sana specification za sound bar, lakin pia mkuu ata A series zina dolby audio, labda dolby atmos hazina,kwa iyo kupata ile sorround sound inakua poor,
 
Sure Dolby Atmos,ukiwa na kibunda kuanzia 900 hivi unapata Q600,site moja nzur sana,inachambua vizuri sana
 
Feedback:

Nilienda Kariakoo nikazurura sana. Nikatest izo zote mbili, iyo Sony hamna kitu. Iyo Hisense pia kawaida tu.

Nimaishia kununua evvoli Soundbar ya 320 watts kwa 470,000/=

So far, inaniridhisha.

View attachment 2271455View attachment 2271456

Mimi Sio Mpiga Ramli Ila Next Time Buy From The Giant Company They Know What They Are Doing! Hawa Ni Wageno Sokoni Japo Siwabezi Lakini Nina Imani Hii Sio Chaguo Sahihi!
Kama Kuna Mtaalamu wa Evolli Anipe Muongozo Kidogo Nipate Ufahamu
 
Pia unaweza pitia hiyo site wana trusted reviews za soundbars,una search model yako unapata uchambuzi wote kuanzia pros and cons mpaka MIXED USAGE RATING,yani music, movies na Dialogue.

Kwa Samsung unaweza cheki Q series kuanzia Q600A hizi Q series zina Dolby zote tofaut na A au T series za budget
Hio samsung sio makini kwa bass lovers
 
Sorry Mkuu,ile model ya Rising subwoofer uliyosema inatumia same technology unaweza ukaitaja tena?bei zake zinachezaje?
Yah inatumia same tech. ya passove bass radiators. Wanauza laki 3 na nusu hadi 4 kulingana na duka. Hizi ziko nyingi so hazina usumbufu kuzipata
 
Ndyo Mkuu,namaanisha unitajie Model yake kamili ikiwezekana na kapicha nikaitafute.
 
Back
Top Bottom