Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

Model yake ni RS-1833 iko njema sana.

Mkuu hyo Rising naona nayo upatikanaji wake shida,vp hii ya Mr UK unaionaje?
IMG_0958.jpg

Model:UK 911B
 
Nielekeze Kariakoo Mkuu,hyo Rising naulizia wauzaji hawana.
Wauzaji wengine miyeyusho. Utakuta anayo ila haijui Model no. Yake. Mtaa wa kwanza kulia ukitokea Mataa ya Congo. Kuna maduka mengi zipo hizo system.
Mtaa upo upande ilipo china plaza.
 
Wauzaji wengine miyeyusho. Utakuta anayo ila haijui Model no. Yake. Mtaa wa kwanza kulia ukitokea Mataa ya Congo. Kuna maduka mengi zipo hizo system.
Mtaa upo upande ilipo china plaza.

Si ndiyo hii Mkuu
IMG_1228.jpg
 
Back
Top Bottom