mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa feedbackFeedback:
Nilienda Kariakoo nikazurura sana. Nikatest izo zote mbili, iyo Sony hamna kitu. Iyo Hisense pia kawaida tu.
Nimaishia kununua evvoli Soundbar ya 320 watts kwa 470,000/=
So far, inaniridhisha.
View attachment 2271455View attachment 2271456
Hivi mkuu hyo channel huwa ina deal na nn hasa maana siielewi vizuri mkuu tafwazal lknkwa hiyo bajeti yako ya 450k nakusogezea pendekezo zuri zaidi toa hiyo hisense weka hii, Hiyo nimeitoa Kwenye app ya kariakoo Mall, Najua ukiingia town mwenyew utapata bei chini ya hapo, sikushauri kuhusu Hiyo Sony Ishapitwa na wakati vya kutosha bluetooth kitu muhimu sana kwenye hizi mambo. View attachment 2265726
Ndio inaishinda.inaishinda kodtec yangu 2913?? kwa bass ya maana??
total watts 300rmsina specification gan iyo kodtec?
umeshaiskia lakini kodtec 2913 kishindo chake??Ndio inaishinda.
Hao ni wauzaji wa online, unachagua mali yoyote unayoipenda kutoka kwenye hiyo app, wanakuletea kwako full box ikiwa sealed, unautest mzigo ukiuelewa unalipia full. order inachukua kama masaa ma3 maximum kukufikia. wapo poa sanaHivi mkuu hyo channel huwa ina deal na nn hasa maana siielewi vizuri mkuu tafwazal lkn
Hujanielewa mkuu nachouliza mm ni zile channel za kwenye sabufa au sound bar. Mfano unakuta sonny dav dz 150 labda ina channel 5.1 hyo channel ndio nauliza ina deal na vitu gani hasa?Hao ni wauzaji wa online, unachagua mali yoyote unayoipenda kutoka kwenye hiyo app, wanakuletea kwako full box ikiwa sealed, unautest mzigo ukiuelewa unalipia full. order inachukua kama masaa ma3 maximum kukufikia. wapo poa sana
Hiyo website inaitwajeHao ni wauzaji wa online, unachagua mali yoyote unayoipenda kutoka kwenye hiyo app, wanakuletea kwako full box ikiwa sealed, unautest mzigo ukiuelewa unalipia full. order inachukua kama masaa ma3 maximum kukufikia. wapo poa sana
Hujanielewa mkuu nachouliza mm ni zile channel za kwenye sabufa au sound bar. Mfano unakuta sonny dav dz 150 labda ina channel 5.1 hyo channel ndio nauliza ina deal na vitu gani hasa?
Hukunyoosha swali, mm sio mtaalamu sana wa mziki ila unapoona channel 2.1 au 5.1 hapo ninavyoelewa mimi inamaanisha ya kuwa hiyo music system (5.1) inakuwa na spika 5 na boofer 1, Sasa hapo kila spika inakuwa na position yake maalum tofaut na 2.1 ambayo inakuwa na spika mbili na boofer tuHujanielewa mkuu nachouliza mm ni zile channel za kwenye sabufa au sound bar. Mfano unakuta sonny dav dz 150 labda ina channel 5.1 hyo channel ndio nauliza ina deal na vitu gani hasa?
kariakoomallHiyo website inaitwaje
Hawa wako poakariakoomall
Hawa wako poa
Hapo sawa Chief hapo sasa nimekulata vyema[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hukunyoosha swali, mm sio mtaalamu sana wa mziki ila unapoona channel 2.1 au 5.1 hapo ninavyoelewa mimi inamaanisha ya kuwa hiyo music system (5.1) inakuwa na spika 5 na boofer 1, Sasa hapo kila spika inakuwa na position yake maalum tofaut na 2.1 ambayo inakuwa na spika mbili na boofer tu
Nimetoa ujinga hapa, thanks much mkuumkuu maana ya channe ni speaker na subwoofer, mfano hapo kwenye channel 5.1, inamaana iyo home threatre ina speaker tano(5) na subwoofer (1), hizo speaker tano zinashirikiana kukupa radha halisi ya audio, iwe movie au music,pamoja na sorround sound
Haya manyanya saizi sio deal,kuna Soundbar had za 9.1 ,7.1,5.1,3.1 haina haja ya home theater ya style hiiHii niliona pale Mlimani City ina hatari kubwa bei ni 860,000, ni LG
View attachment 2266858