Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

hii site huwa naitumia sana mkuu, wanadadavua vizur sana specification za sound bar, lakin pia mkuu ata A series zina dolby audio, labda dolby atmos hazina,kwa iyo kupata ile sorround sound inakua poor,
 
Sure Dolby Atmos,ukiwa na kibunda kuanzia 900 hivi unapata Q600,site moja nzur sana,inachambua vizuri sana
 
Mimi Sio Mpiga Ramli Ila Next Time Buy From The Giant Company They Know What They Are Doing! Hawa Ni Wageno Sokoni Japo Siwabezi Lakini Nina Imani Hii Sio Chaguo Sahihi!
Kama Kuna Mtaalamu wa Evolli Anipe Muongozo Kidogo Nipate Ufahamu
 
Hio samsung sio makini kwa bass lovers
 
Sorry Mkuu,ile model ya Rising subwoofer uliyosema inatumia same technology unaweza ukaitaja tena?bei zake zinachezaje?
Yah inatumia same tech. ya passove bass radiators. Wanauza laki 3 na nusu hadi 4 kulingana na duka. Hizi ziko nyingi so hazina usumbufu kuzipata
 
Yah inatumia same tech. ya passove bass radiators. Wanauza laki 3 na nusu hadi 4 kulingana na duka. Hizi ziko nyingi so hazina usumbufu kuzipata

Ndyo Mkuu,namaanisha unitajie Model yake kamili ikiwezekana na kapicha nikaitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…