Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Ndiomana hips la kushato 😜
Kwenye ndizi aisee hunitoi
Yanii Siku nikikutembelea hata usisumbuke niwekee nguna lilomixiwa na udaga na nyama/ samaki zakutroshaaa arrrrhhh🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
Cha kusindikizia Ugali ndio uniwekee hizo ndizi za kukaanga na Makolokolo yenu ya mjini πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
Ugali???????,🀣🀣🀣! Ngoja siku nikipika ntakuita uone !🀠
Bila kusahau mixa udaga 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Jitahidi kufanya hivyo, natafuta mke wa kunipikia πŸ˜€
 
Ndiomana hips la kushato 😜
Kwenye ndizi aisee hunitoi
Juzikati nilimeintein nikafanikiwa kupunguza trumbooo haaa saivi hio njaa nayosikia nahuku kunyonyesha sasa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Pale Nilikua naenda kupasuka uwiii!!
 
Unakaanga zinakauka vizuri kabisa na Ndiomana sio chakula cha kupika kila siku mara Moja moja tu! Kwa afya kula vyakula vya kuakaanga kaanga sana sio poa!!
Si unajua tena sie ma-bachelor ukipata tu option ya msosi rahisi, ndio inakuwa daily, shukrani sana kwa ushauri itanibidi nizingatie mara moja moja
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwaze udugu njoo utakula kujigalagaza, na kingine tutakufungia uondoke nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…