Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Ndiomana hips la kushato 😜
Kwenye ndizi aisee hunitoi
Yanii Siku nikikutembelea hata usisumbuke niwekee nguna lilomixiwa na udaga na nyama/ samaki zakutroshaaa arrrrhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Cha kusindikizia Ugali ndio uniwekee hizo ndizi za kukaanga na Makolokolo yenu ya mjini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Ugali???????,🤣🤣🤣! Ngoja siku nikipika ntakuita uone !🤠
Bila kusahau mixa udaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jitahidi kufanya hivyo, natafuta mke wa kunipikia 😀
 
Unakaanga zinakauka vizuri kabisa na Ndiomana sio chakula cha kupika kila siku mara Moja moja tu! Kwa afya kula vyakula vya kuakaanga kaanga sana sio poa!!
Si unajua tena sie ma-bachelor ukipata tu option ya msosi rahisi, ndio inakuwa daily, shukrani sana kwa ushauri itanibidi nizingatie mara moja moja
 
Yanii Siku nikikutembelea hata usisumbuke niwekee nguna lilomixiwa na udaga na nyama/ samaki zakutroshaaa arrrrhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Cha kusindikizia Ugali ndio uniwekee hizo ndizi za kukaanga na Makolokolo yenu ya mjini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwaze udugu njoo utakula kujigalagaza, na kingine tutakufungia uondoke nacho
 
Back
Top Bottom