Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwaze udugu njoo utakula kujigalagaza, na kingine tutakufungia uondoke nacho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜! Kabesaaa 🀣
 
Mimi nipewe hizo nyama tu πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Hakika watu wa TA mpo vizuri jikoni

Eeeh chukua maua yako haya hapa🌷🌹
 
Wew mm kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani kama hio kuku ilokaangwa afu wairost kalimao na pilipili kwa mbali mboga ya majini pembeni na ugali Wangu lainiiii uwiiiii nakula hadi natamani kujing'ata vidole kwabutamu! Nikimaliza nashushia mtindi 😁😁😁😁! Inabaki kupumua tu kupunguza shibeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ !
 
Back
Top Bottom