Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
πππππππ! Kabesaaa π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwaze udugu njoo utakula kujigalagaza, na kingine tutakufungia uondoke nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππ! Kabesaaa π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwaze udugu njoo utakula kujigalagaza, na kingine tutakufungia uondoke nacho
Ndioooo nduguuu sio kwa masontojo hayoo! Hebu nibles one time nione uvononaaa kwanza lol kitrambo sana!!ππ Wapi ndugu
Nikapike mimi tena wakati hili swala tulishalimaliza hapo awali..?ππChukua recipe hiyo kapike
Yani kama hio kuku ilokaangwa afu wairost kalimao na pilipili kwa mbali mboga ya majini pembeni na ugali Wangu lainiiii uwiiiii nakula hadi natamani kujing'ata vidole kwabutamu! Nikimaliza nashushia mtindi ππππ! Inabaki kupumua tu kupunguza shibeπππ€ !Wew mm kabisa ππ
Ndizi mbivu ukila asubuhi kabla ya kula chochote ina ongeza nguvu mwilini pia ina saidia kutumia Choo bila ya usumbufu.Cha ajabu kuna midume nayo inapenda NDIZI
Hongera sanaπHapana ndugu ila Huwa natulia kabisa kujifunza kuhusiana na mapishi ni kitu nachopenda
Tag location nije nijipakulie minyama ππNjoo chukue
Shukran sana
Sitakuja mikono mitupu, nitakuletea kakuku unipikie supu πKaribu sana tena jumapili ni siku takatifu ya Mungu! Hakika wageni ni baraka!
Cheka tu.πππ
Aaliyyah skia maneno hayoKaribu sana tena jumapili ni siku takatifu ya Mungu! Hakika wageni ni baraka!
Ewaaaaaa! Hapo ndio penyewe hapo!!Sitakuja mikono mitupu, nitakuletea kakuku unipikie supu π
Hiyo soon n sasaSoon tu
Usisahau kumwambia mwanasheria wako...gharama zote ni juu yngu na npo tayr kulipa fidia πππNgoja niongee na mwanasheria wangu