Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ushindwe mwenyewe tu
Weeee Ulivopaania hivo weweπŸ™ŒπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ˜!
 
Hakuna kutoka ndani, ni kula na kupakua tu, mvinyo kwa pembeni huku tukiburudika na country music; hapo utatamani kuzaliwa mara ya pili πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi

Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu

Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike

Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa

Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi

View attachment 2766244
Ndizi bila kitimoto..... Ni uharibifu wa vyakula. πŸ½πŸ–πŸ·
 
Sio mbali bhana na menuyako tayari
samaki wa kuchoma na ugali na mboga za majani unashushia juice
Kuku wa kukaanga na ndiz au chips na lemonade mocktail πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au unatak cocktailπŸ˜‚πŸ˜‚
Mwaka mpya hiyo
Mhhhh so tuna ka-mkesha ketu hapo ee..
 
Mdogo wangu kwenye misosi kama hiyo tuwe tunashituana ndio ugonjwa wangu.. lile sorotojo la ndizi zinazoiva iva kwa kuku huwa nakula mpaka nakula tena. Yaani navimbiwa kabisa.
 
Mdogo wangu kwenye misosi kama hiyo tuwe tunashituana ndio ugonjwa wangu.. lile sorotojo la ndizi zinazoiva iva kwa kuku huwa nakula mpaka nakula tena. Yaani navimbiwa kabisa.
πŸ˜€πŸ˜€Kumbe kaka nawe mpenz wa masaptasapta Sasa ilo sotojo litiwe na Nazi aisee πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€Kumbe kaka nawe mpenz wa masaptasapta Sasa ilo sotojo litiwe na Nazi aisee πŸ˜€
Aiyaa wee, umejuaje ndugu yangu, kitu cha nazi Hapo ni kula mpaka kusaza.

Halafu kuna juice nzito ya baridiii.
 
Back
Top Bottom