Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

[emoji1787][emoji1787] kitambi nouma, nakiogopa afu ss hivi nimeanza kunenepa wowowo si haba
Na iyo rangi ya mtume ndugu utatuulia vijanawetu ndio nguvukaz ya taifaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na iyo rangi ya mtume ndugu utatuulia vijanawetu ndio nguvukaz ya taifa[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Me cheusi tii km chungu cha mganga
 
Wali bwana, napenda wali naweza kula 24/7
πŸ™†πŸΎMwee
Acha kujidhalilishaπŸ˜‚

Msikilize mamakoπŸ‘‡
 

Attachments

  • primary%3AAndroid%2Fmedia%2Fcom.whatsapp.w4b%2FWhatsApp%20Business%2FMedia%2F.Statuses%2F42e07...mp4
    2.5 MB
πŸ™†πŸΎMwee
Acha kujidhalilishaπŸ˜‚

Msikilize mamakoπŸ‘‡
Mtu wangu sana huyu, nammanya sana, na anakiishi anachohubiri, sema huwezi kuninyima ninachopenda. Hata keki sio nzuri kwa afya🀣
 
Mtu wangu sana huyu, nammanya sana, na anakiishi anachohubiri, sema huwezi kuninyima ninachopenda. Hata keki sio nzuri kwa afya[emoji1787]
Mwanaume anayekula wali anajidhalilisha na kujimaliza
Your browser is not able to display this video.

Keki zinabomoa meno
Waachie watoto ambao bado hawajaanza kung'oa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…