Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Tutayajenga..Wee hakuna mkesha 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutayajenga..Wee hakuna mkesha 😀
Nijazie wapi majanga tu ndugu labda kitambi [emoji23][emoji23][emoji23]
Na iyo rangi ya mtume ndugu utatuulia vijanawetu ndio nguvukaz ya taifa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa muefeso,unapenda nini Aposto?Huo nakuachia wewe bwana, ngoja nifanye mengine..halafu mie mshamba nimekuja town na ndevu zangu l..
😅😅😍Tayana-wog mama la mama saivi kambi popote...tupo huku jukwaa la masaptasapta karibu sana!
Wali bwana, napenda wali naweza kula 24/7Sasa muefeso,unapenda nini Aposto?
Au wali?
🙆🏾MweeWali bwana, napenda wali naweza kula 24/7
Mtu wangu sana huyu, nammanya sana, na anakiishi anachohubiri, sema huwezi kuninyima ninachopenda. Hata keki sio nzuri kwa afya🤣🙆🏾Mwee
Acha kujidhalilisha😂
Msikilize mamako👇
Mwanaume anayekula wali anajidhalilisha na kujimalizaMtu wangu sana huyu, nammanya sana, na anakiishi anachohubiri, sema huwezi kuninyima ninachopenda. Hata keki sio nzuri kwa afya[emoji1787]
😁😁😁😁😁😅😅😍
Naona naona kambi popoteee
Mweh hata sina hips uduguuu!Kambi popote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu tupia yako nimemiss kuona hips kwanza udugu
Hiyo ni misimamo yake na elimu yake ya lishe, mimi nasimamia ninachoona kinanifaa. Wali unaleta obesity, ila nakipenda kifreezer changu kidogo.Mwanaume anayekula wali anajidhalilisha na kujimalizaView attachment 2766866
Eendiwooooo uduguuu atubless tuone baibui lilivokua dogoo !Mbless na me nikuone shoo ulivyojazia mpk baibui dogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auweeeeehhh! Hebuuu nisafishe macho mimi do the needful pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!![emoji1787][emoji1787] kitambi nouma, nakiogopa afu ss hivi nimeanza kunenepa wowowo si haba
Udugu umeamkia jf? 🤣🤣🤣Mweh hata sina hips uduguuu!
Katubania eti 🤣Eendiwooooo uduguuu atubless tuone baibui lilivokua dogoo !