Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Umeaga mashindano udugu 🤣🤣🤣
Kuna mwingine naye juzi kaja na malalamiko ya kutelekezwa 10yrs!! Afu kaibuka anataka kujiweka tena dah!! 🤣🤣🤣
Mapenzi ya jf yananichekesha sana
Mi niliaga kitrambo sana hekaheka za humu staki tena mi😂😂😂🤣!
 
Aaah wapi, nilistaaf kule selfika, sirudii tena🤣🤣
Hayo ya selfika tuachane nayo, tuongelee ya hapa leo.
Weka hiyo pic bas, nione zee la loose ball 😂
 
Mi niliaga kitrambo sana hekaheka za humu staki tena mi😂😂😂🤣!
Husiano gumu km makalio ya nyani 🤣🤣
Ya nini kujitesa ukalitua zigo la misumari pwaah! 😂😂
 
Aaah wapi, nilistaaf kule selfika, sirudii tena🤣🤣
Lazima Ulipewa kichambo hahaha🤣🤣🤣🤣🤣😂! Hapana chezea mahusiano ya jeuefu staki mie nyiee!🤠
 
Lazima Ulipewa kichambo hahaha🤣🤣🤣🤣🤣😂! Hapana chezea mahusiano ya jeuefu staki mie nyiee!🤠
Sina mahusiano jf madam, si nilikutaka ukanicomolea wewe🤣🤣
 
Huyu ni dada yangu, kwa umri wake na wangu hawezi kuwa mama yangu. Wewe ndio umuite mama...halafu nishakuambia ni mtu wangu sana tu! Ukiwa na shida katika lishe yako(unataka kunenepa[emoji1787]) nitakupa mawasiliano yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama yako huyo
Acha kujikuza,mtoto wa 79.
Huyo mama diet zake siwezi kufuata aisee

Hadi sembe hataki tule[emoji1787]
 
Sina mahusiano jf madam, si nilikutaka ukanicomolea wewe🤣🤣
Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!

Si unaona hata kucheka kutaniana na mtu hairuhusiwi humu 🙌🙌🤣🤣🤣🤣!
 
Unamuweka mtu bila moyo kumfeel na kumpenda ilimradi mmeonana tu??? Nyieee siwaweziii mi🤠🤠🤠😂😂!
Kusubiri hadi moyo umfeel? Kwani kunakuwa na mkataba wowote ili usubiri yote hayo?🤣🤣
 
Kabisa acha nitulize kiharage changu tru🤠!
Dah!! Hatareee 😂😂😂😂
Eti nitulize kiharage woiiih!!
Mahusiano ya humu muishie kuchit chart lasivo ukijitia jeuri kwenda extra miles tunakuzika mchana kweupe
 
Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!

Si unaona hata kucheka kutaniana na mtu hairuhusiwi humu 🙌🙌🤣🤣🤣🤣!
Ni kweli, ukiwa na mtu unakosa uhuru wa kujiachia namna hii. Siku ukiona nimetulia nalike tu ujue tayari nishapata kitu!!!🤣🤣
 
Kusubiri hadi moyo umfeel? Kwani kunakuwa na mkataba wowote ili usubiri yote hayo?🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ni kuwekana kwanza mengine mtajua mbele kwa mbele kama CCM ausio!! Umetishaaa 🤠🤠!!
 
Back
Top Bottom