Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Umeona eenhe udugu, yeye aweke pic tuone kwanza 🤣Kabisa afanye hivo asizingue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eenhe udugu, yeye aweke pic tuone kwanza 🤣Kabisa afanye hivo asizingue
Mi niliaga kitrambo sana hekaheka za humu staki tena mi😂😂😂🤣!Umeaga mashindano udugu 🤣🤣🤣
Kuna mwingine naye juzi kaja na malalamiko ya kutelekezwa 10yrs!! Afu kaibuka anataka kujiweka tena dah!! 🤣🤣🤣
Mapenzi ya jf yananichekesha sana
Ndo anavyosemaga ila ni wale wazee wa hovyo 🤣🤣🤣Hivi kumbe Eroni ni mzee eeh?? Lol hongera zakee wazee wapo gudooo sana hawana tantalila!
Hayo ya selfika tuachane nayo, tuongelee ya hapa leo.Aaah wapi, nilistaaf kule selfika, sirudii tena🤣🤣
Husiano gumu km makalio ya nyani 🤣🤣Mi niliaga kitrambo sana hekaheka za humu staki tena mi😂😂😂🤣!
Lazima Ulipewa kichambo hahaha🤣🤣🤣🤣🤣😂! Hapana chezea mahusiano ya jeuefu staki mie nyiee!ðŸ¤Aaah wapi, nilistaaf kule selfika, sirudii tena🤣🤣
Sina mahusiano jf madam, si nilikutaka ukanicomolea wewe🤣🤣Lazima Ulipewa kichambo hahaha🤣🤣🤣🤣🤣😂! Hapana chezea mahusiano ya jeuefu staki mie nyiee!ðŸ¤
Kabisa acha nitulize kiharage changu tru huku🤠!Husiano gumu makalio ya nyani 🤣🤣
Ya nini kujitesa ukalitua zigo la misumari pwaah! 😂😂
Huwezi kuniona tukasalimiana tu, nitakuweka kwanza🤣🤣Natamani nimuone mana ana maneno sana 🤣🤣🤣
Itakuwa age ya kina uncle Shamte huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni dada yangu, kwa umri wake na wangu hawezi kuwa mama yangu. Wewe ndio umuite mama...halafu nishakuambia ni mtu wangu sana tu! Ukiwa na shida katika lishe yako(unataka kunenepa[emoji1787]) nitakupa mawasiliano yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!Sina mahusiano jf madam, si nilikutaka ukanicomolea wewe🤣🤣
Unamuweka mtu bila moyo kumfeel na kumpenda ilimradi mmeonana tu??? Nyieee siwaweziii mi🤠🤠🤠😂😂!Huwezi kuniona tukasalimiana tu, nitakuweka kwanza🤣🤣
Kusubiri hadi moyo umfeel? Kwani kunakuwa na mkataba wowote ili usubiri yote hayo?🤣🤣Unamuweka mtu bila moyo kumfeel na kumpenda ilimradi mmeonana tu??? Nyieee siwaweziii mi🤠🤠🤠😂😂!
Dah!! Hatareee 😂😂😂😂Kabisa acha nitulize kiharage changu tru🤠!
Ni kweli, ukiwa na mtu unakosa uhuru wa kujiachia namna hii. Siku ukiona nimetulia nalike tu ujue tayari nishapata kitu!!!🤣🤣Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!
Si unaona hata kucheka kutaniana na mtu hairuhusiwi humu 🙌🙌🤣🤣🤣🤣!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ni kuwekana kwanza mengine mtajua mbele kwa mbele kama CCM ausio!! Umetishaaa 🤠🤠!!Kusubiri hadi moyo umfeel? Kwani kunakuwa na mkataba wowote ili usubiri yote hayo?🤣🤣