Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Umeaga mashindano udugu 🤣🤣🤣
Kuna mwingine naye juzi kaja na malalamiko ya kutelekezwa 10yrs!! Afu kaibuka anataka kujiweka tena dah!! 🤣🤣🤣
Mapenzi ya jf yananichekesha sana
Mi niliaga kitrambo sana hekaheka za humu staki tena mi😂😂😂🤣!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama yako huyo
Acha kujikuza,mtoto wa 79.
Huyo mama diet zake siwezi kufuata aisee

Hadi sembe hataki tule[emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
Sina mahusiano jf madam, si nilikutaka ukanicomolea wewe🤣🤣
Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!

Si unaona hata kucheka kutaniana na mtu hairuhusiwi humu 🙌🙌🤣🤣🤣🤣!
 
Kabisa acha nitulize kiharage changu tru🤠!
Dah!! Hatareee 😂😂😂😂
Eti nitulize kiharage woiiih!!
Mahusiano ya humu muishie kuchit chart lasivo ukijitia jeuri kwenda extra miles tunakuzika mchana kweupe
 
Mi humu nawawezeaa wapiii wa vipaji! Hekaheka miambiliiii kidogoo siwezi mie 🤠🤠!

Si unaona hata kucheka kutaniana na mtu hairuhusiwi humu 🙌🙌🤣🤣🤣🤣!
Ni kweli, ukiwa na mtu unakosa uhuru wa kujiachia namna hii. Siku ukiona nimetulia nalike tu ujue tayari nishapata kitu!!!🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…