Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Auntie 😍
Una hatari🔥

Nitajaribu na mimi, akhsante 🙏
 
Nlivokua nasoma Kuna picha nlikuwa naitengeza kichwani yaan mdada flan hv mkali kuku wa kienyeji yupo jikoni anapika ndizi gafla natokea pale.....eb endelezeni afu mi tamalizia
 
Nlivokua nasoma Kuna picha nlikuwa naitengeza kichwani yaan mdada flan hv mkali kuku wa kienyeji yupo jikoni anapika ndizi gafla natokea pale.....eb endelezeni afu mi tamalizia
😂😂Amka utajikojolea kitandani
Wew si katibu wa kataa Ndoa wew😂😂
 
Siku hizi watu wanakula vifaranga vya kuku...Sasa hiko kipaja Au kibawa?
 
Mmh, kila mtu ana kipenda roho chake. Mimi wali..naweza kula wali 24/7.
Hata wali unaweza kubadilika kutokana na mazingira unaweza kula fried rice ya mayai au nyma ya kusaga ila kama hujazoea ni changamoto
 
Hata wali unaweza kubadilika kutokana na mazingira unaweza kula fried rice ya mayai au nyma ya kusaga ila kama hujazoea ni changamoto
Unaonekana upo makini kwenye maakuli, hongera...
 
Kwanini unanifanyia hivi lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…