Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auntie 😍Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi
Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu
Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike
Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa
Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi
View attachment 2766244
Mimi ni mmoja wao, ndizi ndiyo chakula changu pendwaSijui watu wanaona nini kwenye ndizi.
Nimeona tu zinaonekana tu hata kwa picha ! Uko vizuriKweli dear ni tamu sana ladha Inakuwa tofaut na tulivozoea pia zinakuwa na harufu flan ya kuvutia
Ankoli muefesoSili mdudu wala!
Mmh, kila mtu ana kipenda roho chake. Mimi wali..naweza kula wali 24/7.Mimi ni mmoja wao, ndizi ndiyo chakula changu pendwa
😂😂Amka utajikojolea kitandaniNlivokua nasoma Kuna picha nlikuwa naitengeza kichwani yaan mdada flan hv mkali kuku wa kienyeji yupo jikoni anapika ndizi gafla natokea pale.....eb endelezeni afu mi tamalizia
Sio mgalatia?🤣Ankoli muefeso
Ntakutega na kitibaridi mjukuu wa Ma'am G WhiteSio mgalatia?🤣
Sijaelewa, kinini?Ntakutega na kitibaridi mjukuu wa Ma'am G White
Unaonekana upo makini kwenye maakuli, hongera...Hata wali unaweza kubadilika kutokana na mazingira unaweza kula fried rice ya mayai au nyma ya kusaga ila kama hujazoea ni changamoto
Kwanini unanifanyia hivi lakini?Nafikiri mkopoa kabisa