Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ umeona na wewe?
Yaani liyah mie anielekeze kwake nikajifunze mapishi ninakoelekea nitatia aibu!
Na wakwe wa siku hizi wana gubu km hujui kupika 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Amka utajikojolea kitandani
Wew si katibu wa kataa Ndoa wewπŸ˜‚πŸ˜‚
Kukataaa ndoa haimaanishi sitaki kula maisha na watoto wazur wazur kama ww, kitu sitaki ni kupoteza uhuru tu masuala ya kuulizwa nlichelewa, mtu kukagua simu yangu na upuuzi mwngn kama kushona nguo za kufanana 🀣
 
Sare za vitenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Frying food is unhealthy for you,chemsha nyama na ndizi weka tui la nazi or siagi ya karanga or karanga zenyewe,usiweke mafuta haitakua tamu tafuta matunda yako then piga msosi wako.
 
Frying food is unhealthy for you,chemsha nyama na ndizi weka tui la nazi or siagi ya karanga or karanga zenyewe,usiweke mafuta haitakua tamu tafuta matunda yako then piga msosi wako.
Yah ni kweli lakn watanzania Huwa tunakulaga vyote tu hata hivo Huwa napika pia
 
Nshazoea kupiga kadeti(cadate), jinsi na tishet Leo nivae manguo yaliyoshonwa kwa vitenge😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tena imeshonwa kama blauzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…