Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Chips masala ipi? Vuruge ama!!Sana recipe inafanana na ya chips masala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chips masala ipi? Vuruge ama!!Sana recipe inafanana na ya chips masala
Ujanja wote huo kitimoto huli?😂😁Katika vitu siwezi kula ni hicho, uharam mwingine wote naweza fanya ila huo niliaminishwa toka tumboni siwezii🤣
Kukataaa ndoa haimaanishi sitaki kula maisha na watoto wazur wazur kama ww, kitu sitaki ni kupoteza uhuru tu masuala ya kuulizwa nlichelewa, mtu kukagua simu yangu na upuuzi mwngn kama kushona nguo za kufanana 🤣😂😂Amka utajikojolea kitandani
Wew si katibu wa kataa Ndoa wew😂😂
Sare za vitenge 😂😂😂Kukataaa ndoa haimaanishi sitaki kula maisha na watoto wazur wazur kama ww, kitu sitaki ni kupoteza uhuru tu masuala ya kuulizwa nlichelewa, mtu kukagua simu yangu na upuuzi mwngn kama kushona nguo za kufanana 🤣
Uku tunaita vurugee tamu balaa[emoji39][emoji39]Recipe niliitoa kwa foodlovers insta....ni balaaa
Ndizi kama mzuzu si eti!🤣🤣Wa ndizi 😂
I wish nije kuwa na restaurant advanced niekee Mambo km haya....Ndio hatuanza mwanzo ni makange uko vizuri sana
Unaweza tumiaviaz pia ikawa chips masala
Yah ni kweli lakn watanzania Huwa tunakulaga vyote tu hata hivo Huwa napika piaFrying food is unhealthy for you,chemsha nyama na ndizi weka tui la nazi or siagi ya karanga or karanga zenyewe,usiweke mafuta haitakua tamu tafuta matunda yako then piga msosi wako.
Huo nakuachia wewe bwana, ngoja nifanye mengine..halafu mie mshamba nimekuja town na ndevu zangu l..Ujanja wote huo kitimoto huli?😂😁
Ila ndiz nyama ni amsha km unapika utie na nazii.... Ukhty oyaaah...Ndio hatuanza mwanzo ni makange uko vizuri sana
Unaweza tumiaviaz pia ikawa chips masala
Nshazoea kupiga kadeti(cadate), jinsi na tishet Leo nivae manguo yaliyoshonwa kwa vitenge😁😁Sare za vitenge 😂😂😂
Ilee ni nzurii for out..... Ama kubadlsha mlo sku moja moja home..... Ama kujua ubunifu mpya wa chipsiNafikir wengine wanaita hivo recipe ni kama hiyo juu tofauti yake ni tunatumia chips zilizokaangwa
Eee ndio 🙈Ndizi kama mzuzu si eti!🤣🤣