Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

😋😋😋 umeona na wewe?
Yaani liyah mie anielekeze kwake nikajifunze mapishi ninakoelekea nitatia aibu!
Na wakwe wa siku hizi wana gubu km hujui kupika 🤣🤣🤣
😂😂😂
 
😂😂Amka utajikojolea kitandani
Wew si katibu wa kataa Ndoa wew😂😂
Kukataaa ndoa haimaanishi sitaki kula maisha na watoto wazur wazur kama ww, kitu sitaki ni kupoteza uhuru tu masuala ya kuulizwa nlichelewa, mtu kukagua simu yangu na upuuzi mwngn kama kushona nguo za kufanana 🤣
 
Sare za vitenge 😂😂😂
 
Frying food is unhealthy for you,chemsha nyama na ndizi weka tui la nazi or siagi ya karanga or karanga zenyewe,usiweke mafuta haitakua tamu tafuta matunda yako then piga msosi wako.
 
Yah ni kweli lakn watanzania Huwa tunakulaga vyote tu hata hivo Huwa napika pia
 
Back
Top Bottom