Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kumbe simpo hivi!! Nitafanya hivo ntakupa mrejesho mamy!Pia ni rahis
Mahitaji
Ndizi za kuiva 4/5
Maziwa fresh yalichemshwa na yapoe nusu Lita
Unamenya ndizi zako unaweka kwenye Brenda unamininia na maziwa then unablend Hadi iwe lain Inakuwa tayari hauongez sukari wala maji
Utanipa mrejesho
Shida ya nini udugu ukaliacha limkungu mpk likajiivia π€£π€£Lol kuna mkungu wa ndizi nililetewa na wananzengo ulikaa ukaiva hadi ukaoza huo hapo niliutupa juzi tu! Mi Ndizi za kupika sipendi sana na huwezi kukaanga kila siku
Sasa ujuaji wangu nikatengeneza smooth ya ndizi, embe, tende na maziwa fresh.Ooh kumbe Zina faida hivo mm ila napendaga sana za kuiva Yani natengenezaga na smooth kabisa
Nachanganya ndiz na mtindi
Ulikua mkungu mkubwa uduguuu niligawa nyingine nikapika ila bado ikaiva ! Kwangu hatupendi ndizi kiivo so tunapika mara moja moja sana! Afu ilikua imekomaa sana ilikaa kidogo tu ikaiva!Shida ya nini udugu ukaliacha limkungu mpk likajiivia π€£π€£
Weee Madam kumbe ndiomana umenooooona khaπ! Walai Mwamba anafauduuuuuuu π!Ni rahis na Nina uhakika 100 watapenda Kam mnatumia peannut unaweza ukawekq kijiko kimoja
Me ndizi nazipenda, dada namwambia kabisa ajipikilishe mawali yake ila ndizi zangu asisahau kunipikia π€£Ulikua mkungu mkubwa uduguuu niligawa nyingine nikapika ila bado ikaiva ! Kwangu hatupendi ndizi kiivo so tunapika mara moja moja sana! Afu ilikua imekomaa sana ilikaa kidogo tu ikaiva!
Nakaziaaaaaaaa!!!Kwa hayo mapishi, unafaa kuwekwa ndani kabisa
Sasa mie mwenzio napenda ugali etiπ€ ! Nyie pikeni mavyakula yenuuu yoooote mi mnipikie ugaliπ€£π€£π€£π€£π€ π€ ππππ!Me ndizi nazipenda, dada namwambia kabisa ajipikilishe mawali yake ila ndizi zangu asisahau kunipikia π€£
π€Nakaziaaaaaaaa!!!
Ndiomana hips la kushato πSasa mie mwenzio napenda ugali etiπ€ ! Nyie pikeni mavyakula yenuuu yoooote mi mnipikie ugaliπ€£π€£π€£π€£π€ π€ ππππ!
Ebu tuwekee mapishi yako tuoneNakaziaaaaaaaa!!!
Wewe ni wa lake zoneSasa mie mwenzio napenda ugali etiπ€ ! Nyie pikeni mavyakula yenuuu yoooote mi mnipikie ugaliπ€£π€£π€£π€£π€ π€ ππππ!
π€π€π€ππ€
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!Ebu tuwekee mapishi yako tuone
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€ !Wewe ni wa lake zone
Kwani wewe umewekwa ndani,?π€π€π€π