Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Pia ni rahis
Mahitaji
Ndizi za kuiva 4/5
Maziwa fresh yalichemshwa na yapoe nusu Lita
Unamenya ndizi zako unaweka kwenye Brenda unamininia na maziwa then unablend Hadi iwe lain Inakuwa tayari hauongez sukari wala maji
Utanipa mrejesho
Kumbe simpo hivi!! Nitafanya hivo ntakupa mrejesho mamy!
 
Lol kuna mkungu wa ndizi nililetewa na wananzengo ulikaa ukaiva hadi ukaoza huo hapo niliutupa juzi tu! Mi Ndizi za kupika sipendi sana na huwezi kukaanga kila siku
Shida ya nini udugu ukaliacha limkungu mpk likajiivia 🤣🤣
 
Ooh kumbe Zina faida hivo mm ila napendaga sana za kuiva Yani natengenezaga na smooth kabisa
Nachanganya ndiz na mtindi
Sasa ujuaji wangu nikatengeneza smooth ya ndizi, embe, tende na maziwa fresh.
Kilichonikuta kwanza ncheke 🤣🤣🤣
 
Shida ya nini udugu ukaliacha limkungu mpk likajiivia 🤣🤣
Ulikua mkungu mkubwa uduguuu niligawa nyingine nikapika ila bado ikaiva ! Kwangu hatupendi ndizi kiivo so tunapika mara moja moja sana! Afu ilikua imekomaa sana ilikaa kidogo tu ikaiva!
 
Ulikua mkungu mkubwa uduguuu niligawa nyingine nikapika ila bado ikaiva ! Kwangu hatupendi ndizi kiivo so tunapika mara moja moja sana! Afu ilikua imekomaa sana ilikaa kidogo tu ikaiva!
Me ndizi nazipenda, dada namwambia kabisa ajipikilishe mawali yake ila ndizi zangu asisahau kunipikia 🤣
 
Sasa mie mwenzio napenda ugali eti🤠! Nyie pikeni mavyakula yenuuu yoooote mi mnipikie ugali🤣🤣🤣🤣🤠🤠😂😂😂😂!
Ndiomana hips la kushato 😜
Kwenye ndizi aisee hunitoi
 
Back
Top Bottom