Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Mimi ndizi hata ikichemshwa tu na chumvi nakulaMmh, kila mtu ana kipenda roho chake. Mimi wali..naweza kula wali 24/7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndizi hata ikichemshwa tu na chumvi nakulaMmh, kila mtu ana kipenda roho chake. Mimi wali..naweza kula wali 24/7.
Karibu kipenz ni nzuri ukijaribu hiv hutokula ndiz za kichomaAsante kwa recipe...nitajaribu nishazoea mzuzu kuzichoma tu
Tulia Anne, labda nisijue..nikijua urafiki wetu unaishia hapo🤣Ntakutega na kitibaridi mjukuu wa Ma'am G White
Utakuwa wa migombani sio bure mkuu!!Mimi ndizi hata ikichemshwa tu na chumvi nakula
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁!Utam wa nini tena madam🤣
Huwa napika chips masala kwa recipe hii naweka na nazi kidogoKaribu kipenz ni nzuri ukijaribu hiv hutokula ndiz za kichoma
Mm nilikuwa napenda chips mayai nikawa napika chips masala tangu nianze kula nimesahau kabisa ladha ya chips yai Yani naona hazina ladha Tena
ItakuaUtakuwa wa migombani sio bure mkuu!!
Huogopi kutengeneza freezer mkuu?🤣Ndizi ni my favorite na napikaga dakika 5 kila kitu tayari, Asante kwa kuniongezea recipe.
Ntashushia na ka savannah kangu ka baridiiiii 🥂😅🥂
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi
Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu
Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike
Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa
Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi
View attachment 2766244
😂😂😂😂 naogopa lakini nakomaa, baba chanja ananiambiaga bado sana, bado sana piga vitu 🤣🤣Huogopi kutengeneza freezer mkuu?🤣
Ukiona hivyo anataka nyama, nyama ni kila kitu mkuu..naumelewa sana🤣🤣😂😂😂😂 naogopa lakini nakomaa, baba chanja ananiambiaga bado sana, bado sana piga vitu 🤣🤣
Nakuapia utakula tuTulia Anne, labda nisijue..nikijua urafiki wetu unaishia hapo🤣
Makange ni nyama/samaki/ ikipikwa bila mchuzi tukiongezea chips au ndiz wengine wanaita chips makange/chips masalaHivi hayo ndio wanaitaga makange au Ushamba wangu?? Japo inategemea makange ya nini!
Nikikwama aanze kunisengenya! 😅Ukiona hivyo anataka nyama, nyama ni kila kitu mkuu..naumelewa sana🤣🤣
Jamani 😋😋😋