Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Asante kwa recipe...nitajaribu nishazoea mzuzu kuzichoma tu
Karibu kipenz ni nzuri ukijaribu hiv hutokula ndiz za kichoma
Mm nilikuwa napenda chips mayai nikawa napika chips masala tangu nianze kula nimesahau kabisa ladha ya chips yai Yani naona hazina ladha Tena
 
Ndizi ni my favorite na napikaga dakika 5 kila kitu tayari, Asante kwa kuniongezea recipe.

Ntashushia na ka savannah kangu ka baridiiiii 🥂😅🥂
 
Huwa napika chips masala kwa recipe hii naweka na nazi kidogo
Iyo ndo kiboko Yani unaweza ukala had ukalamba sahani😀😀
Mamaang Kila ukimuuliza kuhus chips anakwambia pika zile za kuchanganya na nyama sijui zina kaulevi😀😀
 
Hivi hayo ndio wanaitaga makange au Ushamba wangu?? Japo inategemea makange ya nini!
 
Ndizi ni my favorite na napikaga dakika 5 kila kitu tayari, Asante kwa kuniongezea recipe.

Ntashushia na ka savannah kangu ka baridiiiii 🥂😅🥂
Sawa dear karibu
Nafikir utaenjoy na kirecipe chepes hakina mambo mengi😍
 
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi

Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu

Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike

Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa

Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi

View attachment 2766244


Mnashauriana ujinga wanawake, mnaharibu wanaume na ma vitambi, wakifika miaka 42 chali, tendo hawawezi wanaanza kula matakata.

Wanawake mnapenda kula mno matakata, hakuna afya, mnakuwa wakubwa kama nyumba, tukichepuka kelele.....
 
Huogopi kutengeneza freezer mkuu?🤣
😂😂😂😂 naogopa lakini nakomaa, baba chanja ananiambiaga bado sana, bado sana piga vitu 🤣🤣

Madai yake bado niko pazuri, ila si unajua mtu chake? Lazima anipe moyo. Ila kwa mbaliiii nakaona 😀
 
Hivi hayo ndio wanaitaga makange au Ushamba wangu?? Japo inategemea makange ya nini!
Makange ni nyama/samaki/ ikipikwa bila mchuzi tukiongezea chips au ndiz wengine wanaita chips makange/chips masala
Ikiwa na ndiz sijui wanaitaje 😀
 
Back
Top Bottom