Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen.... Chakula kitu muhmu aseeh......Itapendeza Na Mungu akusimamie chakula ni hitaji muhimu sana
Mangi kaniteka udugu 😂😂Hahha huyo mangi vipi
Fanya dear utaweza nakuaminia 😍
Kwangu pia, naishi penye migomba kwa muda sasa lkn ndizi hapanaSijawahi kupenda ndizi, nakula shida tu na vile niko na mtu wa migombani..azawaiz ndizi sio msosi!
Hata wanaume pia wote Huwa tunakula chakula
Hahah umeanza, yenye mishipa🤣🤣Hakuelewa ndizi kubwa 😂
Kwa kweli hapa tuko pamoja, ndizi mmh labda za kuiva.Kwangu pia, naishi penye migomba kwa muda sasa lkn ndizi hapana
Hao ni wale rojo rojo wa dar, nile ndizi nishibe kabisa? Anyway tunatofautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 mzee wa hovyo kwenye ubora wakoHahah umeanza, yenye mishipa🤣🤣
Ngoja nisepe zangu🏃🏃🤣🤣
[emoji23]Kushiba Sio kuwa na afya
Subiri na uone 🤣Umpikie masaptasapta ndugu 😂 ole wako
Naweza mzuzu uliokwiva wa kuchoma au wa kukaanga na mafuta, huo na nyama+wine unashuka vizuriKwa kweli hapa tuko pamoja, ndizi mmh labda za kuiva.
Mfano baadhi ya Ndizi za huku niliko wanasema zinasaidia sana kulainisha maeneo ya wanawake! Sijui kuna ukweli gani hata!Sijawahi kupenda ndizi, nakula shida tu na vile niko na mtu wa migombani..azawaiz ndizi sio msosi!
Afu muda mpo road mnatembea anakukaribia anakuongelesha ongelesha 👀watu wanakuangalia😂😂😂Tena imeshonwa kama blauz😂😂😂