Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Sijawahi kupenda ndizi, nakula shida tu na vile niko na mtu wa migombani..azawaiz ndizi sio msosi!
Kwangu pia, naishi penye migomba kwa muda sasa lkn ndizi hapana
 
Sijawahi kupenda ndizi, nakula shida tu na vile niko na mtu wa migombani..azawaiz ndizi sio msosi!
Mfano baadhi ya Ndizi za huku niliko wanasema zinasaidia sana kulainisha maeneo ya wanawake! Sijui kuna ukweli gani hata!
Huku kuna watu si wanaume si wanawake ni asubuhi mchana jioni ni ndizi ndizi ndizi ukiwapa chakula kingine hujawatendea haki kabisa!!
 
Back
Top Bottom