Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
So mbaya wali maharage tupumuzike tule siku moja moja friedTena wanapenda sana!
Tunawapikia Mara moja moja! Sio kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mbaya wali maharage tupumuzike tule siku moja moja friedTena wanapenda sana!
Tunawapikia Mara moja moja! Sio kila siku
Nawajua wahaya kweny ndiz aani ata chemsha atakula na kulalaEendiwoo mkuu!
Kukaanga ni sehemu ya aina ya mapishi km ilivoJe ni hatua gani unazoweza kuzichukua ili mlo huu usiwe na mafuta mengi? maana ndizi zimekaangwa, nyama zimekaangwa na bado mchanganyiko wa nyanya na karoti pia unakaangwa na mafuta kabla ya kutumbukiza ndizi hizo
Lol kuna mkungu wa ndizi nililetewa na wananzengo ulikaa ukaiva hadi ukaoza huo hapo niliutupa juzi tu! Mi Ndizi za kupika sipendi sana na huwezi kukaanga kila sikuBila picha ya ndiz umetuonea😂😂
Kabisa mkuu kumbe unawajua!Nawajua wahaya kweny ndiz aani ata chemsha atakula na kulala
Unakaanga zinakauka vizuri kabisa na Ndiomana sio chakula cha kupika kila siku mara Moja moja tu! Kwa afya kula vyakula vya kuakaanga kaanga sana sio poa!!Je ni hatua gani unazoweza kuzichukua ili mlo huu usiwe na mafuta mengi? maana ndizi zimekaangwa, nyama zimekaangwa na bado mchanganyiko wa nyanya na karoti pia unakaangwa na mafuta kabla ya kutumbukiza ndizi hizo
Sa unakuta aina hio zinakua sio za kuliwa yani hata ziive vipi hazifai kuliwa na sio tamu kabisa!Aisee za kuiva mm ndo napenda
Yeahv Huko ndio focus yangu!Njoo mjini Moro biashara haiendi sana labda kama upo kwenye mishahara ya wizara ileeeee
Tena ndizi ni nzr kwa afya ya uzazi wa kiume kuliko hata ugali na vyakula vingi vya wanga na fats...Cha ajabu kuna midume nayo inapenda NDIZI
Yeah!So mbaya wali maharage tupumuzike tule siku moja moja fried
Ndizi na mtindi Doh!??? Vinanoga?? Hebu tuone inavokua!Ooh kumbe Zina faida hivo mm ila napendaga sana za kuiva Yani natengenezaga na smooth kabisa
Nachanganya ndiz na mtindi
Ngoja nione picha km ipoNdizi na mtindi Doh!??? Vinsnoga Hebu tuone inavokua!
Asante Utanielekeza nijaribu kuwatengenezea nione !Ngoja nione picha km ipo
Ni tamu sana Tena hauongez chochote hata sukar huweki pia ni nzuri Kwa kuongeza uzito Kwa watoto wao huchanganyiwa na maziwa fresh lakin sio wachanga kuanzia miez 6 nafikir
🤣🤣🤣 Tatizo wanaume wenyewe kula ndizi
Pia ni rahisAsante Utanielekeza nijaribu kuwatengenezea nione !