Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Je ni hatua gani unazoweza kuzichukua ili mlo huu usiwe na mafuta mengi? maana ndizi zimekaangwa, nyama zimekaangwa na bado mchanganyiko wa nyanya na karoti pia unakaangwa na mafuta kabla ya kutumbukiza ndizi hizo
Kukaanga ni sehemu ya aina ya mapishi km ilivo
Kuna mapishi ya kukaanga pia Kuna mapishi ya kuchemsha na kubanika/kuoka
So kuepuka mafuta kwenye vyakula vya aina hii ni ngumu Sababu ndio vinavyopikwa ila Kwa ambae hatumii mafuta na hapendi

Anaweza kupika hiv pia ila akatumia kuoka/kubanika
Ukaoka/kichoma nyama
Ukachoma pia ndizi ukatumia mafuta kiasi kidogo wakat wa kukaanga vitunguu vyako, ukawa umeepuka Hilo
 
Bila picha ya ndiz umetuonea😂😂
Lol kuna mkungu wa ndizi nililetewa na wananzengo ulikaa ukaiva hadi ukaoza huo hapo niliutupa juzi tu! Mi Ndizi za kupika sipendi sana na huwezi kukaanga kila siku
 
Attachments

  • IMG_20230929_165315_654~2.jpg
    IMG_20230929_165315_654~2.jpg
    428.8 KB · Views: 1
Je ni hatua gani unazoweza kuzichukua ili mlo huu usiwe na mafuta mengi? maana ndizi zimekaangwa, nyama zimekaangwa na bado mchanganyiko wa nyanya na karoti pia unakaangwa na mafuta kabla ya kutumbukiza ndizi hizo
Unakaanga zinakauka vizuri kabisa na Ndiomana sio chakula cha kupika kila siku mara Moja moja tu! Kwa afya kula vyakula vya kuakaanga kaanga sana sio poa!!
 
Hii iwekee kitimoto na kachumbari ya pilipili na tambi kwa mbali zakusindikizia mlo delicious 😋 😍 😊
 
Cha ajabu kuna midume nayo inapenda NDIZI
Tena ndizi ni nzr kwa afya ya uzazi wa kiume kuliko hata ugali na vyakula vingi vya wanga na fats...

Ndizi kichoche kizur sana cha mzunguko wa Damu hata kwenye uume...

Na zinaimarisha testosterone na hormone zote za kiume
 
Ndizi na mtindi Doh!??? Vinsnoga Hebu tuone inavokua!
Ngoja nione picha km ipo
Ni tamu sana Tena hauongez chochote hata sukar huweki pia ni nzuri Kwa kuongeza uzito Kwa watoto wao huchanganyiwa na maziwa fresh lakin sio wachanga kuanzia miez 6 nafikir
 
Ngoja nione picha km ipo
Ni tamu sana Tena hauongez chochote hata sukar huweki pia ni nzuri Kwa kuongeza uzito Kwa watoto wao huchanganyiwa na maziwa fresh lakin sio wachanga kuanzia miez 6 nafikir
Asante Utanielekeza nijaribu kuwatengenezea nione !
 
Asante Utanielekeza nijaribu kuwatengenezea nione !
Pia ni rahis
Mahitaji
Ndizi za kuiva 4/5
Maziwa fresh yalichemshwa na yapoe nusu Lita
Unamenya ndizi zako unaweka kwenye Brenda unamininia na maziwa then unablend Hadi iwe lain Inakuwa tayari hauongez sukari wala maji
Utanipa mrejesho
 
Back
Top Bottom